Falconer Zanzibaris are free to leave the union wala sina neno na hilo. Najua muungano mzima ulikuwa na kasoro nyingi wakati wa kuanzishwa. Kwa hiyo Bw. Othman aki advocate muungano uvunjwe au katiba yote ibadilishwe nita elewa zaidi kuliko huu ushauri wake kuhusu makamo wa raisi ambao uta complicate vitu zaidi.
Wakijitenga, ambacho wanatakiwa kufanya bidii kushughulikia, watakuwa na mamlaka yote juu ya nchi yao na tabu itakwisha. Itakwisha kwetu na itakwisha kwao.
Ndugu Mwanafalsafa, si rahisi kumuelwa Bw. Othman kwa kuwa huu muungano wenyewe huuelewi. Ingelikuwa vizuri ukamsikiza katika MZALENDO.NET akitoa maelezo yake. Mwandishi, ambae ni mwana CCM bobea, hakuandika ukweli wote. Kwa ufupi huu muungano wenyewe ni wa mkatomkato hauna ukweli wala baraka za bunge la tanzania au zanzibar. Haya nyalikuwa ni manyago matupu (hot air).
Wazanzibari wamechoshwa kutawaliwa. Wanadai nchi yao kwa njia ya diplomasia. Katiba mpya haitowasaidia kitu kama haitaangalaia suala zima la muungano. "IN SHORT, WE WANT OUT OF THIS UNION".[/QUOTE]
Mkuu una mawazo ya kufugwa, sasa hivi Zenj wanaenda kivyake vyake na hata sijui huko kutawaliwa kunatoka wapi.
Na madaraka kuongezewa VP hapo ndo hakieleweki kwa waTanganyika.Tabia hii ya double standards za nyie wenzetu ndo inatukera.
Bungeni mmejazana na mnachotetea hakieleweki in fact uwingi wa watu toka Zenj is a nuisence.
Bunge lenu lipo ingefaa Baraza la Wawakilishi litumike kutatua matatizo yenu.
Utatuzi wa matatizo ya Zenj si kwa mgongo wa Bara.
Kwa kweli leo Zenj ikitoka katika muungano unaoelekea kufa sasa hivi , halitakuwa jambo la kushangaza sana maana hakuna aliye na ubavu wa kuongelea kuwa tumeunga kwa kitu gani haswa kwa sasa.
Ndugu Mwanafalsafa, si rahisi kumuelwa Bw. Othman kwa kuwa huu muungano wenyewe huuelewi. Ingelikuwa vizuri ukamsikiza katika MZALENDO.NET akitoa maelezo yake. Mwandishi, ambae ni mwana CCM bobea, hakuandika ukweli wote. Kwa ufupi huu muungano wenyewe ni wa mkatomkato hauna ukweli wala baraka za bunge la tanzania au zanzibar. Haya nyalikuwa ni manyago matupu (hot air).
Wazanzibari wamechoshwa kutawaliwa. Wanadai nchi yao kwa njia ya diplomasia. Katiba mpya haitowasaidia kitu kama haitaangalaia suala zima la muungano. "IN SHORT, WE WANT OUT OF THIS UNION".
Mkuu Bongolander ndiyo maana na mimi nimeshangaa. Maana kazi ya makamo wa raisi ni kama title ya cheo chenyewe kinacho ashiria. Kwamba kazi ya makamo wa raisi ni kumsaidia raisi.?
Ndugu Mwanafalsafa, si rahisi kumuelwa Bw. Othman kwa kuwa huu muungano wenyewe huuelewi. Ingelikuwa vizuri ukamsikiza katika MZALENDO.NET akitoa maelezo yake. Mwandishi, ambae ni mwana CCM bobea, hakuandika ukweli wote.
Mwanafalsafa1
Huyo jamaa aliyekushauri usikilize mwenyewe huko, pata muda usikilize. Nimemsikiliza na anajaribu kuonesha katiba nyengine za muungano hutaja wanachama wake. sasa Katiba yetu inawataja Tanganyika na Zanzibar?
Ipo sehemu yenye title.."Video Mpya – Migongano kati ya Mkataba wa Muungano na Katiba ya Tanzania"
Mkuu.Mkuu sija bishia hayo mengine aliyo yasema. Mimi nimembishia tu kuhusu hilo la makamo wa raisi. Nime jibu hoja kama ilivyo letwa kwenye hii thread ambayo inaelezea kuongezwa kwa madaraka ya VP. Sija criticize kingine zaidi ya hicho.
Ndugu Mwanafalsafa, si rahisi kumuelwa Bw. Othman kwa kuwa huu muungano wenyewe huuelewi. Ingelikuwa vizuri ukamsikiza katika MZALENDO.NET akitoa maelezo yake. Mwandishi, ambae ni mwana CCM bobea, hakuandika ukweli wote. Kwa ufupi huu muungano wenyewe ni wa mkatomkato hauna ukweli wala baraka za bunge la tanzania au zanzibar. Haya nyalikuwa ni manyago matupu (hot air).
Wazanzibari wamechoshwa kutawaliwa. Wanadai nchi yao kwa njia ya diplomasia. Katiba mpya haitowasaidia kitu kama haitaangalaia suala zima la muungano. "IN SHORT, WE WANT OUT OF THIS UNION".
Mkuu sija bishia hayo mengine aliyo yasema. Mimi nimembishia tu kuhusu hilo la makamo wa raisi. Nime jibu hoja kama ilivyo letwa kwenye hii thread ambayo inaelezea kuongezwa kwa madaraka ya VP. Sija criticize kingine zaidi ya hicho.
Du Mkuu punguza munkari, pamoja na kwamba hawa jamaa wanaudhi sana,vyenga wametupiga na magoli watufunge?pumbafu sana! Na mtoke tushawachoka hata sie, mnadhani mnamtisha nani? watu 1.3milioni mna mawaziri 5, makamu na rais wenu bado mnataka nini? Au na dsm iwe nchi si ndio? Kwanza vilaza wakubwa, kutwa kuomba omba fursa kama wote wanawake. Hebu nambie, Tanganyika tunapata faida gani na uwepo wenu? Tokeni, tena mmechelewa fanyeni haraka kabla hatujaadhimisha miaka yetu 50 vilaza nyie.