Zanzibaris challenge union with Tanzania in regional court

KichwaNgumu254

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
1,284
1,152
cuf.jpg

AFP_PIC.jpg

By AFP

Separatist campaigners of Zanzibar Island have appealed to a regional court to challenge the legality of its union with mainland Tanzania, they said Thursday.

Rashid Salum Adiy, head of the Zanzibar Rights of Freedom and Autonomy (Zarfa) organisation, a group not recognised by the Tanzanian authorities, claims to have the backing of 40,000 supporters for his appeal.

Adiy, who has organised protests in the past denouncing the union between Zanzibar and Tanzania, argues the independence-era union agreement favours the mainland at the expense of the Indian Ocean archipelago.

He has filed an appeal to the East African Court of Justice to challenge the legality of agreement.

"Based on the evidence we have, we argue that this union has no legal basis," Adiy told AFP. "It is purely political, for it does not take into account the interests of citizens."

The court, in Arusha, will hear the case on March 8.

The court was set up to rule on matters of the East African Community (EAC), the six-member bloc including Tanzania, as well as Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan and Uganda.

Some Zanzibari opposition parties have long wanted to break ties and return to the independence it briefly enjoyed in early 1964 before merging with Tanganyika.

The islands are already semi-autonomous, with their own elected parliament and president.

Elections in 2015 were repeated the following year after alleged irregularities. The opposition Civic United Front (CUF), which had promised to campaign for full autonomy of the islands, declared themselves the winners of the first poll, which was then annulled.

The long-ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) retained power in Zanzibar, the party of Tanzanian President John Magufuli.

Zanzibaris challenge union with Tanzania in regional court
 
Habari ya 2015 hiyo mkuu
Uku mambo yako shwali yajm

Dah! Kwa kweli Wazanzibari wana point ukizingatia walivyokaa kwenye muungano huo wao, nimefuatilia suala la juzi kuhusu kukatazwa kwa wao kutumia bandari ya Mombasa, ukienda kwenye jukwaa la siasa Wazanzibari wanatiririka povu huku wakikejeliwa na Watanaganyika na kutukanwa sana.

Lakini hata hivyo mimi naombea muungano wao uendelee maana Wazanzibari ni shughuli likija suala la dini, wana mihemko sana na wakiachiwa watalea Somalia na Syria nyingine, yaani ISIS watapata hifadhi huko kama nyumbani. Kwa ustawi na uthabiti na jumuiya na kanda hii, bora waendelee kukaa nchini na ndani ya Tanzania.
 
Kati ya mainland na Zanzibar nani atagemea mwingine ukiangalia fedha ambazo ya TRA hukusanya na expenditure
 
Wajinga wa Kenya, Hii ndiyo kazi Itumbi na Other 36 deplorables have given you today? Disgusting..Haya go and collect 527- za leo angalau mnunue maziwa ya brookside
 
Dah! Kwa kweli Wazanzibari wana point ukizingatia walivyokaa kwenye muungano huo wao, nimefuatilia suala la juzi kuhusu kukatazwa kwa wao kutumia bandari ya Mombasa, ukienda kwenye jukwaa la siasa Wazanzibari wanatiririka povu huku wakikejeliwa na Watanaganyika na kutukanwa sana.

Lakini hata hivyo mimi naombea muungano wao uendelee maana Wazanzibari ni shughuli likija suala la dini, wana mihemko sana na wakiachiwa watalea Somalia na Syria nyingine, yaani ISIS watapata hifadhi huko kama nyumbani. Kwa ustawi na uthabiti na jumuiya na kanda hii, bora waendelee kukaa nchini na ndani ya Tanzania.

Ukitulia huwa unaongea vitu vya maana.
 
Wajinga wa Kenya, Hii ndiyo kazi Itumbi na Other 36 deplorables have given you today? Disgusting..Haya go and collect 527- za leo angalau mnunue maziwa ya brookside
Sasa baba yenu Raila yupo jobless, hana ikulu, hana makamu wake, first lady wake Miguna Miguna sasa hivi anaganda m&p#mb* kule Canada. Unategemea agharamie vifurushi vyako kivipi? NASA A.K.A [HASHTAG]#TeamKusotaZaidiYaPanyaWaKanisani[/HASHTAG] Hahaha :D:D:D
 
Acha kumshambulia msapere huyo, ila yeye ana akili timamu.
 
Sasa baba yenu Raila yupo jobless, hana ikulu, hana makamu wake, first lady wake Miguna Miguna sasa hivi anaganda m&p#mb* kule Canada. Unategemea agharamie vifurushi vyako kivipi? NASA A.K.A [HASHTAG]#TeamKusotaZaidiYaPanyaWaKanisani[/HASHTAG] Hahaha :D:D:D
Ubaya wako nikujaza kinyesi kwa kichwa? Nani amesema kuna NASA tena? Hii imekwisha. Lakini sasa mambo yako moto, madeni yameiva yanataka kulipwa na hamna pesa. SGR yenu watu wameigomea hata bei ya mzigo mkishusha. Kenya will have a proper revolution now once all these projects fail, and this will be so bad we shall hang uhuru. And yes the revolution will start at Gatundu kwa wakikuyu mandugu wa Uhuru
 
Umechanganyikiwa kijana ama ni mzee? Wewe ndo umekuja na za Jubilee na NASA kwenye uzi wa Zanzibar. Kila mtu anajua chama chenu kimesambaratika, ila unavotaja kabila lako kwenye kila post yako ndo inanishangaza. Kwenu Murang'a kama nakumbuka vizuri, hamkumpa baba yenu Raila kura za maana. Anza revolution yako uchwara huko huko. Ila maendeleo ya Jubilee mtayapokea kwa shuruti! Bibi yako tayari sasa hivi anatizama vile vipindi vya ukulima kwa umeme alounganishiwa na serikali ya Jubilee. Kama imekuuma panda huko huko kwenye milingoti kisha shuka na nyaya!
 
Sitima kwangu nilingoa, Siwezi lipa pesa kampuni inamilikiwa na Mamake uhuru. Wengi wakenya hata iyo stima yakitapeli hawawezi lipa heri wakae njaa. Uzuri ya kwamba wengi hawa ni wakikuyu more than 25% of the very poor in Slums are kikuyus. It will be a perfect storm, all eurobonds and chinise loans are maturing, Uhuru and his seamese twin will not know what hit them, and it will start from their backyard
 
Usisahau pia na yale maziwa ya Brookside, ambayo wanaNASA mliyanunua kwa hela zenu wenyewe. Kisha mkayamaga, huku mkiimba Raila tibim tialala, eti na kamwe hamuwezi yanywa! Hehehe :D:D:D:D:D kweli dunia ina mambo!
 
Usisahau pia na yale maziwa ya Brookside, ambayo wanaNASA mliyanunua kwa hela zenu wenyewe. Kisha mkayamaga huku mkiimba Raila tibim, eti na kamwe hamuwezi yanywa! Hehehe :D:D:D:D:D kweli dunia ina mambo!
Mimi nia ngombe zangu nakamua. Wewe unaishi nyumba yakukodisha roysambu unafurahia 1027 bob ya itumbi after finishing school recently. Pathetic
 
Back
Top Bottom