Zanzibaris challenge union with Tanzania in regional court

Mimi nia ngombe zangu nakamua. Wewe unaishi nyumba yakukodisha roysambu unafurahia 1027 bob ya itumbi after finishing school recently. Pathetic
Eti roy what? I finished my undergraduate studies a long time ago my friend, and still going on. I live in my own home in the great county of Kajiado. But who cares what anyone owns? This is jf buana. Naona unamtaja Itumbi kwenye post zako zote, alichokunyima hatujui sisi. Kamfate huko huko twitter au fb. Siku nyingine ukumbuke kusema ng'ombe wangu wala sio ng'ombe zangu. We kamua ng'ombe wa bosi kwa amani basi.
 
Kazi yakulipwa pesa kinyesi kama thao moja siwezi mimi. Tunawajua nyinyi maboys wa itumbi mlo maliza shule hivi karibuni, kila forum nkuja kukunia si twitter si fb si JamiiForums.com etc
 
cuf.jpg

AFP_PIC.jpg

By AFP

Separatist campaigners of Zanzibar Island have appealed to a regional court to challenge the legality of its union with mainland Tanzania, they said Thursday.

Rashid Salum Adiy, head of the Zanzibar Rights of Freedom and Autonomy (Zarfa) organisation, a group not recognised by the Tanzanian authorities, claims to have the backing of 40,000 supporters for his appeal.

Adiy, who has organised protests in the past denouncing the union between Zanzibar and Tanzania, argues the independence-era union agreement favours the mainland at the expense of the Indian Ocean archipelago.

He has filed an appeal to the East African Court of Justice to challenge the legality of agreement.

"Based on the evidence we have, we argue that this union has no legal basis," Adiy told AFP. "It is purely political, for it does not take into account the interests of citizens."

The court, in Arusha, will hear the case on March 8.

The court was set up to rule on matters of the East African Community (EAC), the six-member bloc including Tanzania, as well as Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan and Uganda.

Some Zanzibari opposition parties have long wanted to break ties and return to the independence it briefly enjoyed in early 1964 before merging with Tanganyika.

The islands are already semi-autonomous, with their own elected parliament and president.

Elections in 2015 were repeated the following year after alleged irregularities. The opposition Civic United Front (CUF), which had promised to campaign for full autonomy of the islands, declared themselves the winners of the first poll, which was then annulled.

The long-ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) retained power in Zanzibar, the party of Tanzanian President John Magufuli.

Zanzibaris challenge union with Tanzania in regional court
Zanzibar Haitokuja kutokea ikajitenga hata siku moja, Ni ndoto, Labda President Of the United Republic of Tz aseme vinginevyo.. Hicho ni kikundi cha watu tu Kama ilivyokua Mombasa..
 
Kazi yakulipwa pesa kinyesi kama thao moja siwezi mimi. Tunawajua nyinyi maboys wa itumbi mlo maliza shule hivi karibuni, kila forum nkuja kukunia si twitter si fb si JamiiForums.com etc
Huko kote ulikotaja mi simo! Hayo mambo yenu na Itumbi na ukabila wenu kenya talk yapeleke huko huko! Jf ina hadhi yake. Kwa lugha unayoitumia ni wazi kwa yeyote ule kujua akili zako ni za kiwango kipi. Hapa jf hatujakuja kujadili za NASA ama Jubilee, tuko hapa kwa mualiko wa jirani zetu. Hesabu nyuzi za malumbano ya kisiasa ya Kenya ni ngapi hapa jf. Chache sana, na zote zimeletwa hapa na watu wasojielewa kama wewe! Hapa wengi wetu ni wakenya ambao wamekuwa na uhusiano wa karibu na nchi ya Tz na wananchi wake. Kwangu imekuwa hivo tangia zamani sana, enzi zile za Moi na Kanu. Tumekuwa hapa jf kabla ya NASA na Jubilee na kilichotuleta hapa ni uhusiano wetu na watz, wa kibiashara, urafiki na mambo mengine mengi tu. Wewe endelea kujiabisha, naona siasa za peni mbili zimekuchokonoa hadi ukapinda!
 
hili nilifala sam999

Give them Independence, The lazy big Danganyika is only exploiting the little good Zanzibar
 
Dah! Kwa kweli Wazanzibari wana point ukizingatia walivyokaa kwenye muungano huo wao, nimefuatilia suala la juzi kuhusu kukatazwa kwa wao kutumia bandari ya Mombasa, ukienda kwenye jukwaa la siasa Wazanzibari wanatiririka povu huku wakikejeliwa na Watanaganyika na kutukanwa sana.

Lakini hata hivyo mimi naombea muungano wao uendelee maana Wazanzibari ni shughuli likija suala la dini, wana mihemko sana na wakiachiwa watalea Somalia na Syria nyingine, yaani ISIS watapata hifadhi huko kama nyumbani. Kwa ustawi na uthabiti na jumuiya na kanda hii, bora waendelee kukaa nchini na ndani ya Tanzania.
Wapeni watu nchi yao acheni visababu vya kipuuzipuuzi.
 
Back
Top Bottom