Zanzibar: ZEC Yaamuru Maalim Seif akamatwe

Zanzibar: ZEC Yaamuru Maalim Seif akamatwe

Karibuni kwenye uzushiiiiiiiiii
Ubalozi wa Marekani unafuatilia kwa karibu mchakato wa uchaguzi nchini kote Tanzania. Tunaendelea kufuatilia zoezi la majumuisho ya kura, ikiwa ni pamoja na zoezi linaloendelea la majumuisho ya kura za urais wa Zanzibar linalofanywa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

Tunatoa wito kwa mchakato huu kukamilishwa kwa wakati na kwa uwazi.

Aidha, tunatoa wito kwa maafisa wote wa serikali kuheshimu wajibu wa waangalizi rasmi wa uchaguzi kwa kuwaruhusu bila kipingamizi chochote kuangalia vipengele vyote vya mchakato wa uchaguzi.

Tunazisihi pande zote husika kuhakikisha kuwa mchakato wa uchaguzi unakuwa wa uwazi, huru na wa amani.


US Embassy
 
Nazidi kuichukia hii nchi,hvi Makamba yy alifanyaje,mbona hatusikii wakimkamata,pumbavu kabisaa,pana tatzo gani kumtangaza kama kashinda
Makamba alitoa tasimini. Seif kajitangaza na kuichimba biti tume
 
Wana masaa 72 ya kutangaza kwa mujibu wa katiba yao na masaa 72 yanakwisha leo saa sita ya usiku na wanaweza wakaongeza siku tatu zingine baada ya hayo masaa 72.

Sasa nini kilichochelewa hapo?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
swala la msingi siyo muda bali ni sababu gani zinawafanya wachukue muda mrefu hivyo. nchi ya wapiga kura laki tano hakuna sabaabu ya msingi kutumia siku tatu kkujumlisha kura.
 
preemptive strike ya seif imewaacha walafi wa madaraka wamechanganyikiwa.
 
Wanasheria tusaidieni:

Kuna jurisdiction mbili hapa..moja inasimamiwa na ZEC na nyingine na NEC.

kwa kuwa ZEC imesema uchaguzi haukuwa huru na wa haki, je ni nini kitahalalisha uchaguzi uliosimamiwa na NEC? Kumbuka, ni sehemu ileile, wasimamizi walewale na wapiga kura wale wale, waliopiga kura chini ya ZEC na NEC.

Je, kitendo cha kuahirisha uchaguzi huu wa ZEC kitasababisha ucheleweshwaji wa matokeo ya NEC? Kumbuka, tayari NEC imeshatoa matokeo yaliyosimamiwa na ZEC lakini ni kwa ajili ya NEC.

Au kila tume ilikuwa na wasimamizi wake?
 
Matokeo yamefuwa futwa...! Leo siyo ishu ya mawakala kuzuiwa ...!
 
Back
Top Bottom