Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,582
Kushapigwa na akili zako na chuki binafsi dhidi ya Wazanzibari, utawaona hivohivo lakini chuki zako hazitosaidia kudumaza mawazo yao ya kudai nchi yao.Hata KILA Mazanzibari akifuga kuku 10 kila mmoja(kitu ambacho Wazenj hawakijui) bado wataagiza kuku toka Tangayika.
kule zanzibar ni. Free port ya vitu vingi na si kuku pekeyake. Na ndiyo maana tra hawapendwi kama sumu zanzibar. Ubaya zaidi tunaweza letewa kuku kutoka tusipokujua wakapitia zanzibar na wakatusababishia madhara makubwa kwa afya zetu na mifugo yetu pia, mfano virus cya mafua ya ndege
Kushapigwa na akili zako na chuki binafsi dhidi ya Wazanzibari, utawaona hivohivo lakini chuki zako hazitosaidia kudumaza mawazo yao ya kudai nchi yao.
Kushapigwa na akili zako na chuki binafsi dhidi ya Wazanzibari, utawaona hivohivo lakini chuki zako hazitosaidia kudumaza mawazo yao ya kudai nchi yao.
Kama mh.alisema kwa usahihi,natilia mashaka hivyo vibali kwenye red,kibali cha tarehe 05/04/2012 ni na.0000551 na cha tarehe 20/07/2012 ni na.0000409,wapi na wapi hizo serial numbers?Soma hotuba ya kambi ya upinzani hapa ujionee maajabu ya Tanzania; kwa wanaojua mahesabu wanaweza kufanya na kuonyesha hizo ni sawa na kuku ngapi ili kupata tani 100.
4.0 Vibali vya Uagizaji wa Nyama ya Kuku toka Njeya Nchi
Mheshimiwa Spika, taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2011 imeonyesha kuwa nchi yetu ina kuku takribani 58 milioni ambao wanafugwa hapa nchini mwetu.
Mheshimiwa Spika, pamoja na kuku wote hao bado wizara hii inaendelea kutoa vibali ya kuagiza nyama ya kuku kutoka Brazili, jambo ambalo ni kinyume cha sheria zetu na matamko mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na serikali hapa Bungeni mara kwa mara.
Mheshimiwa Spika, mnamo tarehe 05.04.2012 Mkurugenzi mkuu wa Idara ya Mifugo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Dr. E. J. Sekidio) alitoa kibali cha kuagiza nyama ya kuku kutoka nchini Brazili kwa kampuni ya Frostan Ltd, ya Jijini DSM kibali chenye namba 000551 cha kuagiza kiasi cha kilo27,100 au tani 27.1 ya nyama zakuku.
Mheshimiwa Spika, mnamo tarehe 20.07.2012 Mkurugenzi Mkuu huyo huyoalitoa kibali kingine chenye namba 00000409 na code namba 0655 kwa kampuni ya MALIK FARAJ CO.LTD cha kuagiza nyama ya kuku kutoka Zanzibar kiasi cha katoni 10,000 zenye kilo 10 kwa kila katoni moja na hivyo ni sawa na kuagiza kilo 100,000 au tani 100 za nyama ya kuku kwa ajili ya migodi ya kuchimba madini ya Barrick.
Kambi Rasmi ya upinzani inataka kupata majibu ya kina kuhusiana na vibali hivi na kama ni sahihi kuendelea kuagiza nyama ya kuku kutoka nje wakati wapo wafugaji wa kuku hapa nchini. Aidha, tunataka kujua nyama za kuku kiasi cha tani 100 zilizoagizwa kutoka Zanzibar ni kutoka nchi gani? Au ni kutoka Zanzibar? Na kama ni kutoka Zanzibar wanahitaji kibali cha kusafirisha nyama kuja bara?
dawa ni kuuvunja muungano.Wazanzibar wengi wanachukia TRA kwa sababu imegundua janja yao ya kupitisha mizigo kinyemela halafu wanaingizia bara kuna kipindi wakati Nahodha akiwa waziri kiongozi alikuwa na mazungumzo na mabalozi wa Tanzania nje ya nchi na moja ya mambo waliyomuulizia ni kuhusu kuifanya Zanzibar kuwa free port alichowajibu hata Zanzibar ikiwa Free port bado soko lao kubwa linategemea bara.Kwa taarifa hiyo utaona Wazanzibar ndio wanatuhujumu kwa kiasi kikubwa na kwa sababu juzi wamepiga marufuku chakula kuletwa bara nategemea pia watapiga marufuku na hao kuku wasiletwe kwani kama walivyosema serikali yao inajitahidi kuleta chakula kwa bei nafuu lakini wafanyabiashara wanakivusha huku
Wazanzibar wengi wanachukia TRA kwa sababu imegundua janja yao ya kupitisha mizigo kinyemela halafu wanaingizia bara kuna kipindi wakati Nahodha akiwa waziri kiongozi alikuwa na mazungumzo na mabalozi wa Tanzania nje ya nchi na moja ya mambo waliyomuulizia ni kuhusu kuifanya Zanzibar kuwa free port alichowajibu hata Zanzibar ikiwa Free port bado soko lao kubwa linategemea bara.Kwa taarifa hiyo utaona Wazanzibar ndio wanatuhujumu kwa kiasi kikubwa na kwa sababu juzi wamepiga marufuku chakula kuletwa bara nategemea pia watapiga marufuku na hao kuku wasiletwe kwani kama walivyosema serikali yao inajitahidi kuleta chakula kwa bei nafuu lakini wafanyabiashara wanakivusha huku