Zanzibar wamepewa mwezi mmoja kulipa deni vinginevyo kiza kutanda Unguja na Pemba

Wajiandae Bank kuu ya Tanzania kutupa mamilioni zetu toka kuanzishwa bank hii kwa asilimia 11 ya wazanzibari, Watupe chetu au muungano bye bye, tutadai kura ya maoni kwa nguvu na mali, kufa kupona
 
Wazenj wamekukosa nini ? maana wewe utampinga Magu na CCM yake kila kona but linapokuja swala la Zanzibar huwa unakuja na point za ajabu na kutoa support ya ajabu sana na kuonesha kuwa kwenye swala la Zanzibar huwa uko na anaewapopoa bega kwa bega ata akiwa bashite mnaetaka aoneshe vyeti, hivi hawajakuchukulia mali yako ile ya karibu maana wazenj wabaya sana kwa wizi wa jinsia ya eva.
Wazanzibar hawajanikosea lolote
Ni kweli na ninasema wazi katika mengi hili la kulipa Bill namuunga mkono Magufuli

Kwa miaka mingi kumekuwepo na uongo Tanganyika wanainyonya Zanzibar kwasababu znz ina uchumi mkubwa sana dunaini. Hapa jamvini tume debunk na kuonyesha Zanzibar si lolote si chochote atika muungano ni liability, mzigo tu mzito

Kelele za za kudai haki hata isiyokuwepo. Mfano wanadai ajira za muungano wapewe upendeleo maalumu. Ajira za muungano ni za Tanganyika maana wazanzibar wameajiri hata maeneo yasiyo na muungano.

Sasa unapoomba msaada ukageuza kuwa ni haki hapo ndipo kuna tatizo
Halafu upendeleo maanalumu kwani wao ni akina nani.

Kwanini Kigoma yenye mchango katika taifa hili isipewe upendeleo huo, Znz waliobebwa wanataka upendeleo!

Kuhusu hili la umeme, ZNZ haijalipa bill kwa miaka 30 na imesemwa na mamlaka husika. Inapofikia watu na wake zao hawataki kulipa bili za umeme majumbani, ni aibu!

Lakini si hilo tu, bajeti ya znz inapata ruzuku ya kodi za Tanganyika ,watoto wa znz wanasoma bure kwa HESLB

Taasis za muungano znz hawana cha kulipa, ingawa taasisI kama ZMO wanakusanya pesa za meli.Yaani hata kile kidogo wanachokusanya hawataki kuchangia

Angalia, wabunge wa ZNZ wanakuja Dodoma na kulipwa na kodi za Tanganyika
Yaani SMZ haina pesa za kupia wabunge wake wanaokuja kwa uzanzibar tu

Kuna wizara znz haijui bajeti yake kwa miaka 50

Katika hali isiyo na stara, wznz ni wakwanza kuwatenga Watanganyika na kuwafanya ni Raia wabaya kuliko hata wa nchi jirani. Matanganyika ZNZ anaangaliwa kwa jicho la kinyaa

Bara, nusu ya wznz inaishi bila ubaguzi wa kitambulisho bila shaka wala wasi wasi
Hakuna ubaguzi wa kipuuzi wa kitambulisho.

Wakipanda meli mitusi inaanza , halafu hawana hoja yoyoye ya maana

Ni kwa msingi huo Watanganyika wanasema hewala, tumechoka, unabwebwa mgongoni halafu unataka ICE cream, please.

Lipeni bili za umeme , mkiachwa mtaomba mahari na posa mlipiwe na kodi za Tanganyika
Serikali isiyolipa bill ni fedheha, wananchi wasiolipa bili ni fedheha

Hapana! wakati umefika muwe asset katika muungano, kwasasa ni liability tu

Zile habari za 'tutavunja muungano' siku hizi hakuna, mkitaka mkae kwenu salama
Who cares!

Mkumbuke, Tanganyika kwa znz ni kisima, mtakuja kunywa maji, au kuchota ya kupikia, kufulia kama si kuoga. Mtaishi chini ya kivuli cha Tanganyika ni nature

Lipeni bili zenu, hata umeme mnataka bure! umeme jamani! sasa mnaweza nini katika muungano ! Yaani bili ya majumbani hamtaki ! hii ni aibu na fedheha
 
Kwa miaka mingi kumekuwepo na uongo kuwa Tanganyika wanainonya Zanzibar kwasababu znz ina uchumi sana, ina kila kitu. Tumekaa hapa jamvini na kuonyesha bila kificho kuwa Zanzibar si lolote si chochote katika kuibiwa na Tanganyika na kwamba katika muungano hawana mchango

Kelele za Wzn ni za kudai haki hata isiyokuwepo. Mfano eti wanadai ajira za muungano wapewe upendeleo maalumu. Ajira za muungano ni za Tanganyika maana wazanzibar wameajiri hata maeneo yasiyo na muungano. Sasa unapoomba msaada ukageuza kuwa ni haki hapo ndipo kuna tatizo

Kuhusu hili la umme, kuna historia kuwa ZNZ haijalipa bill kwa miaka 30 na imesemwa na mamlaka husika. Inapofikia watu na wake zao hawataki kulipa bili za umeme majumbani, ni aibu na fedheha

Lakini si hilo tu, bajeti ya znz inapata pesa za bure ,watoto wa znz wanasoma bure kwa HESLB, taasis za muungano znz hawana cha kulipa, ingawa taasis kama ZMO wanakusanya pesa za meli.
Yaani hata kile kidogo wanachokusanya hawataki kuchangia

Angali, wabunge wa ZNZ wanakuja Dodoma na kulipwa na kodi za Tanganyika

Kuna wizara ambazo znz haijui bajeti yake kwa miaka 50

Katika hali isiyo na stara, wznz ni wakwanza kuwatenga Watanganyika na kuwafanya ni Rais wabaya kuliko hata wa nchi jirani. Matanganyika ZNZ anaangaliwa kwa jicho la kinyaa

Huku Bara nusu ya wznz inaishi bila ubaguzi wa kitambulisho , wanasoma wanatibiwa na kila kitu

Ni kwa msingi huo Watanganyika wanasema hewala, tumechoka, unabwebwa mgongoni halafu unataka ICE cream, please. Lipeni bili za umeme , mkiachwa mtaomba mahari mlipiwe na kodi za Tanganyika

Mkumbuke, Tanganyika kwa znz ni kisiama, mtakuja kunywa maji, au kuchota ya kupikia, kufulia kama si kuoga. Mtaishi chini ya kivuli cha Tanganyika ni nature

Lipeni bili zenu, hata umeme mnataka bure!

Mnawaweka wenyewe vibaraka akina shein na genge lake na kuleta majeshi ya uvamizi kila uchaguzi huku mkimsimika Jecha kwa majeshi yenu, sasa mnalalamika kitu gani???

KAMA NYINYI WANAUME KATENI UMEME HIVI SASA TUONE MBIVU NA MBICHI
 
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA NDOA YA JINSIA MOJA – NI LAANA TUPU ZANZIBAR IMERUDI SQUARE ONE.

ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ameufananisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa ni kama ‘ndoa ya jinsia moja’, kwa kuwa pande zote mbili zina haki sawa, hata kama ukweli utapindishwa.

Akitoa mada ya maslahi ya Zanzibar katika Katiba mpya wakati wa Mkutano Mkuu wa Kikatiba Dar es Salaam jana, Othman alisema kukwama kupatikana kwa Katiba mpya Tanzania ni hofu ya kuvunjika kwa Muungano, baada ya walio wengi kupendekeza mfumo wa Serikali tatu.

Pia aliponda hisia hizo kwa kusema zinajengwa kinadharia ili kuwatia hofu wananchi.

Othman, aliyejiuzulu wadhifa huo wakati wa Bunge Maalumu la Katiba la mwaka 2014, alisema ndoa za jinsia moja ni falsafa tu, lakini haziwezi kubadili ukweli wa maumbile halisi ya wahusika.

“Ukweli ndoa ya jinsia moja ni kwa falsafa tu, haibadilishi ukweli kuwa yule mwanamume anayejifanya mwanamke atabaki kuwa mwanamume, hata yule mwanamke atabakia mwanamke tu na ipo siku mmoja akiudhiwa anaweza kumwambia mwenzake hata mimi mwanamke, mwanamume kama wewe usinifuatilie,” alisema Othuman.

Katika mada yake hiyo, Othman alizungumzia kwa undani historia ya kero za Muungano tangu utawala wa marehemu Aboud Jumbe na alisema kilio chake juu ya kero hizo kiligharimu wadhifa wake.

Pia alisema ingawa mambo ya Muungano kwa idadi ni 22 kama yalivyoainishwa na Katiba ya mwaka 1977, lakini ukweli ni kwamba mambo ya Muungano hayajulikani ni mangapi.

“Dalili ya kwanza inayoonesha kwamba baadhi ya mambo yanafanywa kuwa ya Muungano lakini si kweli, ikiwamo masuala ya bima yanayosimamiwa na Kamishna wa Bima.

“Lakini pia Bunge limekuwa likitunga sheria na kuzifanya za Muungano, hata kwa mambo ambayo hayamo katika orodha ya Muungano, kwa mfano sheria ya proceeds Crimes Act ya 1991,” alisema.

Pia alisema Serikali tatu hazina tatizo lolote na hofu inayojengwa si halisi, bali ni ya kupandikizwa kwa sababu si kweli kwamba Serikali tatu zitavunja Muungano.

Othman alisisitiza kuwa, Muungano uliopo wa Serikali mbili ni kama mmoja ameamua kukubaliana na hali hiyo ili mambo yaende, lakini ukweli hata Zanzibar yenyewe ilihitaji kuwa na mamlaka yake huru.

Wakati huo huo, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. James Jesse, alisema ili mchakato wa Katiba mpya uweze kuendelea, ni lazima iundwe sheria ya amri ya rais na kupelekwa bungeni kuruhusu mchakato huo.

Alisema vifungu vipya vya sheria vinatakiwa kutengenezwa ambavyo vitatoa mwongozo mpya wa nini cha kufanya, kwa kuwa vile vya awali vimepitwa na wakati na haviwezi kutekelezeka.

Chanzo : Mtanzania
 
Wazanzibar hawajanikosea lolote

Ni kweli na ninasema wazi katika mengi hili la kulipa Bill namuunga mkono Magufuli

Kwa miaka mingi kumekuwepo na uongo kuwa Tanganyika wanainonya Zanzibar kwasababu znz ina uchumi sana, ina kila kitu. Tumekaa hapa jamvini na kuonyesha bila kificho kuwa Zanzibar si lolote si chochote katika kuibiwa na Tanganyika na kwamba katika muungano hawana mchango

Kelele za Wzn ni za kudai haki hata isiyokuwepo. Mfano eti wanadai ajira za muungano wapewe upendeleo maalumu. Ajira za muungano ni za Tanganyika maana wazanzibar wameajiri hata maeneo yasiyo na muungano. Sasa unapoomba msaada ukageuza kuwa ni haki hapo ndipo kuna tatizo

Kuhusu hili la umme, kuna historia kuwa ZNZ haijalipa bill kwa miaka 30 na imesemwa na mamlaka husika. Inapofikia watu na wake zao hawataki kulipa bili za umeme majumbani, ni aibu na fedheha

Lakini si hilo tu, bajeti ya znz inapata pesa za bure ,watoto wa znz wanasoma bure kwa HESLB, taasis za muungano znz hawana cha kulipa, ingawa taasis kama ZMO wanakusanya pesa za meli.
Yaani hata kile kidogo wanachokusanya hawataki kuchangia

Angali, wabunge wa ZNZ wanakuja Dodoma na kulipwa na kodi za Tanganyika

Kuna wizara ambazo znz haijui bajeti yake kwa miaka 50

Katika hali isiyo na stara, wznz ni wakwanza kuwatenga Watanganyika na kuwafanya ni Rais wabaya kuliko hata wa nchi jirani. Matanganyika ZNZ anaangaliwa kwa jicho la kinyaa

Huku Bara nusu ya wznz inaishi bila ubaguzi wa kitambulisho , wanasoma wanatibiwa na kila kitu

Wakipanda meli mitusi inaanza , halafu hawana hoja yoyoye ya maana

Ni kwa msingi huo Watanganyika wanasema hewala, tumechoka, unabwebwa mgongoni halafu unataka ICE cream, please. Lipeni bili za umeme , mkiachwa mtaomba mahari mlipiwe na kodi za Tanganyika

Hapana! wakati umefika muwe asset katika muungano, kwasasa ni liability tu

Zile habari za 'tutavunja muungano' siku hizi hakuna, mkitaka mkae kwenu salama
Mkumbuke, Tanganyika kwa znz ni kisiama, mtakuja kunywa maji, au kuchota ya kupikia, kufulia kama si kuoga. Mtaishi chini ya kivuli cha Tanganyika ni nature

Lipeni bili zenu, hata umeme mnataka bure!

Si 'Muungano' bali... AN-NUUR Desemba 1993

MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
 
Mnawaweka wenyewe vibaraka akina shein na genge lake na kuleta majeshi ya uvamizi kila uchaguzi huku mkimsimika Jecha kwa majeshi yenu, sasa mnalalamika kitu gani???

KAMA NYINYI WANAUME KATENI UMEME HIVI SASA TUONE MBIVU NA MBICHI
Magufuli kasema na waziri keshakuja kuomba mazungumzo.
Unakumbuka kifaa kilipoharibika, Vuai alikuja kupiga magoti
 
Ndivyo magufuli alivyosema ???

Mbona aliwaambia Tanesco wakate umeme, hata ikulu hata jeshini hata polisi hata zanzibar ??
Hakusema wakitaka mazungumzo waachieni kwanza muongee nao,

Lile lilikuwa ni povu la soda ??? HAMNA KITU HAPO NI KUZUGWA NYINYI WADANGANYIKA KATIKA KUISOMA NAMBA

Kama ni wanaume si mngelikata tu mkasubiri mpaka walipe ndipo mrudishe umeme ???
 
Ah hamna lolote wasingeuzima asa! Hao wamekaa kitako na wao wakakumbushiwa madeni tunayowadai wakasema basi yasijekuwa mengine. Mi nataka wafanya niwaone viongozi wetu wa ccm watalichukuliaje mana nao mdebwedoooo
 
Ndivyo magufuli alivyosema ???

Mbona aliwaambia Tanesco wakate umeme, hata ikulu hata jeshini hata polisi hata zanzibar ??
Hakusema wakitaka mazungumzo waachieni kwanza muongee nao,

Lile lilikuwa ni povu la soda ??? HAMNA KITU HAPO NI KUZUGWA NYINYI WADANGANYIKA KATIKA KUISOMA NAMBA

Kama ni wanaume si mngelikata tu mkasubiri mpaka walipe ndipo mrudishe umeme ???
Hawawezi kukata ata siku 1, hawana ubavu, wenzao bodi ya mapato zrb walienda kukomea ofisi!
 
Ni facts tu zinazoongea

Katika muungano ZNZ ni tegemezi na huo ni ukweli usio na shaka

1. Bill za Wizara za muungano hawalipi
2. Bili za Taasisi hawalipi
3. Wanapata ruzuku kutoka JMT ambako hakuna ushahidi wanachangia lolote
4. Vijana wao wanasoma bila mkopo kama wenzao
5. Wanategemea soko la Tanganyika
6. Wabunge wanaokuja kuwazungumzia hawalipwi na SMZ!!!
7. Wanataka ajira za muungano, ambazo hatuoni wanagharamia nini ktk muungano

Orodha inaendelea.

Ndiyo maana kwa hili la bill za ndani ya nyumba, namuunga mkono Rais Magufuli 100%
Yaani hata umeme wa ndani nao wanataka walipiwe, please!

Magufuli kasema walipe, na wamekuja mezani. Hawataki waache kulipa waone

Unakumbuka kifaa kilipoharibika, Bilioni 5 za kutengeneza zilitoka kodi za upande gani

Walipe Bill, si kila siku nafasi za upendeleo sasa hapana! Wawajibike
Unayosema ni kweli kabisa Zanzibar ni mzigo naomba mkae Watanganyika halafu mumdump huyu Zanzibar
 
Znz ni wakati mlipe bill, hata umeme hamtaki !

Lipeni bili zenu ni wajibu. Yaani mnasubiri kulipiwa bill, please

Mwananchi wa Tegeta, Ilala, Isevya, Muheza, n.k. analpa bill zake kama wajibu
SMZ halipi!

Mwanafunzi anakatwa pesa za mkopo, wale wa Zanzibar ni bure, halafu umeme pia hawalipi

Rais Magufuli anasisitiza usimamizi mzuri wa kukusanya kodi iwe bandarini na kwingine
Kodi hizo zinaingia hazina, halafu zinakwenda kulipa madeni ya umeme kwingine!

Lipeni bili
 
Ni facts tu zinazoongea

Katika muungano ZNZ ni tegemezi na huo ni ukweli usio na shaka

1. Bill za Wizara za muungano hawalipi
2. Bili za Taasisi hawalipi
3. Wanapata ruzuku kutoka JMT ambako hakuna ushahidi wanachangia lolote
4. Vijana wao wanasoma bila mkopo kama wenzao
5. Wanategemea soko la Tanganyika
6. Wabunge wanaokuja kuwazungumzia hawalipwi na SMZ!!!
7. Wanataka ajira za muungano, ambazo hatuoni wanagharamia nini ktk muungano

Orodha inaendelea.

Ndiyo maana kwa hili la bill za ndani ya nyumba, namuunga mkono Rais Magufuli 100%
Yaani hata umeme wa ndani nao wanataka walipiwe, please!

Magufuli kasema walipe, na wamekuja mezani. Hawataki waache kulipa waone

Unakumbuka kifaa kilipoharibika, Bilioni 5 za kutengeneza zilitoka kodi za upande gani

Walipe Bill, si kila siku nafasi za upendeleo sasa hapana! Wawajibike

8 Na kura pia tunawasaidia kuiba lakini wanashindwa.
 
Shida leo tumesikia hizi janja janja lakini msitegemee mrejesho wa Deni kulipwa ama kutolipwa hapa wanataka kutuondoa kwenye rail hapa tunataka vyeti viwekwe mezani vya Bashite, mbona hao tanesco wanawalipa IPTL na watu wapo kimya itakuja kuwa deni weka vyeti acheni bla bla
 
yaani kiburi chote kile kuwadharau watu wa bara, kumbe wanatumia umeme bila kulipa? tunawabeba hawabebeki, kwanini wasizime hata kesho?
Usione ni rahis kuzima kama unavyozan wewe mkuu , kuna mambo mengi chin ya carpet huyo maguful kutoa kauli ni kutisha tu ,
 
Tanzania bara imeipa Zanzibar hadi mwisho wa mwezi wa tatu kulipa deni la Shilingi bilioni 121 ($ 57,000,000) ya bili ya umeme ambalo ni malimbikizo ya miaka kadhaa au kwamba kutumbukia katika giza.

Rais John Magufuli kuamuru wiki iliyopita kuwa visiwa hivyo kukatiwa umeme kutoka gridi ya taifa inayoendeshwa na Tanesco juu ya madeni. Hata hivyo, mazungumzo kati ya viongozi wa nishati wa pande mbili za serikali ya imesaidia kutokatiwa umeme huo haraka.

Mazungumzo hayo yalikuwa yakiongozwa na Waziri wa Tanzania wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo na Waziri wa Ardhi , Mazingira na Nishati wa Zanzibar Salama Aboud Talib.

"Mazungumzo niliyofanya na Prof Muhongo yameleta matunda . Lengo letu lilikuwa kupata njia ambazo Shirika la umeme Zanzibar (ZECO) linaweza kulipa deni hilo"alisema Bi Talib bila kufafanua.
======================

Tanzania mainland has given Zanzibar up to the end of the month to settle Tsh121 billion ($57 million) in power bills that have accumulated over the years or be plunged into darkness.

President John Magufuli ordered last week that the semi-autonomous archipelago be unplugged from the national grid run by Tanesco over the debt. However, talks between the two government’s energy officials led to the reprieve from immediate disconnection.

The talks were led by Tanzania’s Minister for Energy and Minerals Sospeter Muhongo and Zanzibar’s Lands, Environment and Energy minister Salama Aboud Talib.

“The talks I had with the Prof Muhongo were very cordial and fruitful. Our aim was to find ways in which the Zanzibar Electricity Corporation (Zeco) could settle the bill,” said Ms Talib without elaborating.

Payment plan A team of senior Zanzibar government officials met this week to chart out the possible means to settle the huge debt, and were given till March 30 to table their proposals to the Isles government. Technocrats in the ministries will now prepare a payment plan.

Tanesco supplies about 60 megawatts of electricity to Zanzibar for Tsh3.4 billion ($1.5 million) each month. The utility had threatened to cut off power to the Isles since 2014 but Zeco has been disputing the billing.

Last October, Tanzania's parliamentary Public Accounts Committee (PAC) raised concern over the alarming debt owed to Tanesco by Zanzibar. In a probe on the matter, it emerged that there was a dispute over the electricity tariffs charged on Zeco visa vis those levied on mainland customers.
Hakuna kitu kama hicho
 
Wazanzibar hawajanikosea lolote
Ni kweli na ninasema wazi katika mengi hili la kulipa Bill namuunga mkono Magufuli

Kwa miaka mingi kumekuwepo na uongo Tanganyika wanainyonya Zanzibar kwasababu znz ina uchumi mkubwa sana dunaini. Hapa jamvini tume debunk na kuonyesha Zanzibar si lolote si chochote atika muungano ni liability, mzigo tu mzito

Kelele za za kudai haki hata isiyokuwepo. Mfano wanadai ajira za muungano wapewe upendeleo maalumu. Ajira za muungano ni za Tanganyika maana wazanzibar wameajiri hata maeneo yasiyo na muungano.

Sasa unapoomba msaada ukageuza kuwa ni haki hapo ndipo kuna tatizo
Halafu upendeleo maanalumu kwani wao ni akina nani.

Kwanini Kigoma yenye mchango katika taifa hili isipewe upendeleo huo, Znz waliobebwa wanataka upendeleo!

Kuhusu hili la umeme, ZNZ haijalipa bill kwa miaka 30 na imesemwa na mamlaka husika. Inapofikia watu na wake zao hawataki kulipa bili za umeme majumbani, ni aibu!

Lakini si hilo tu, bajeti ya znz inapata ruzuku ya kodi za Tanganyika ,watoto wa znz wanasoma bure kwa HESLB

Taasis za muungano znz hawana cha kulipa, ingawa taasisI kama ZMO wanakusanya pesa za meli.Yaani hata kile kidogo wanachokusanya hawataki kuchangia

Angalia, wabunge wa ZNZ wanakuja Dodoma na kulipwa na kodi za Tanganyika
Yaani SMZ haina pesa za kupia wabunge wake wanaokuja kwa uzanzibar tu

Kuna wizara znz haijui bajeti yake kwa miaka 50

Katika hali isiyo na stara, wznz ni wakwanza kuwatenga Watanganyika na kuwafanya ni Raia wabaya kuliko hata wa nchi jirani. Matanganyika ZNZ anaangaliwa kwa jicho la kinyaa

Bara, nusu ya wznz inaishi bila ubaguzi wa kitambulisho bila shaka wala wasi wasi
Hakuna ubaguzi wa kipuuzi wa kitambulisho.

Wakipanda meli mitusi inaanza , halafu hawana hoja yoyoye ya maana

Ni kwa msingi huo Watanganyika wanasema hewala, tumechoka, unabwebwa mgongoni halafu unataka ICE cream, please.

Lipeni bili za umeme , mkiachwa mtaomba mahari na posa mlipiwe na kodi za Tanganyika
Serikali isiyolipa bill ni fedheha, wananchi wasiolipa bili ni fedheha

Hapana! wakati umefika muwe asset katika muungano, kwasasa ni liability tu

Zile habari za 'tutavunja muungano' siku hizi hakuna, mkitaka mkae kwenu salama
Who cares!

Mkumbuke, Tanganyika kwa znz ni kisima, mtakuja kunywa maji, au kuchota ya kupikia, kufulia kama si kuoga. Mtaishi chini ya kivuli cha Tanganyika ni nature

Lipeni bili zenu, hata umeme mnataka bure! umeme jamani! sasa mnaweza nini katika muungano ! Yaani bili ya majumbani hamtaki ! hii ni aibu na fedheha
Mkuu Nguruvi.. Heshima Saana mkuu..
Umeelezea kinaga ubaga about how zanzibar is a liability to us na gharama tunazobeba sisi wabara watanganyika.. vilio vya usawa na ajira and all that you have Mentioned...
Ss swali Moja la kizushi mkuu tunawangangania nini watu hawa? wakati hayati jumbe anakuja na swala la serikali tatu kwanini lilimpata lile lilomfika? kwanin hatukuchukua kama ni opportunity ya kuutua mzigo? kwann cc bara ambao naamini kwa namba tuko wengi zaidi.. na ccm ikiwa na more than two thirds bungeni wasije kwa sauti moja na kusema kuwa vumilio lina mwisho? hv ndugu zetu rwanda c wanauchumi mzuri tu kuliko znz? kwann tusiungane nao mkuu? na hasa ukichangia hakuna hata bahari inayotutenganisha? why hatutengezi muungano na wao kwa miaka 50 mengine?
nisaidie mawazo mkuu
 
Back
Top Bottom