Waswahili wagumu sana kutoa ilmu. Mimi nataka kujuwa weye wanijibu kwa kibri. Hapo si ushefungulia yakhe?
zanzibar ni nchi mkuu nilikuwa sifahamu.Wewe nenda Zanzibar na ule hadharani ndio utajua kama ni fair au unfair bumbavu wewe, nchi ina sheria zake nyinyi mnatoka mapovu kaeni kwenu msiende Zanzibar
Habari ndio hio, Zanzibar ni nchi tena ya Waislamzanzibar ni nchi mkuu nilikuwa sifahamu.
Hujajibu swaliZanzibar ni marufuku kula hadharani mwezi wa ramadhani... Ova
Sehemu yoyote yenye watu wenye IQ ndogo dini utumika kuamua mambo binafsi ya watu wengine. Hakuna nchi iliyobaki salama kwa kunyanyasa watu kwa kisingizio cha kulinda imani ya watu wengine. Waliotuletea dini hizi walaaniwe kwa kushindwa kuwaelimisha waliowaletea dini hizo kutambua kuwa watu weusi wana IQ ndogo watatumia imani zao kwa gharama za maisha wengine. Dini ni imani na itabakia hivyo,anayejua ukweli huo hawezi hata kunyanyua mguu wake na kwenda kumdhulu mwenzake kwa kisingizio cha kulinda dini yake.
By the way, Kwani Zanzibar ni nchi?KWANI ZANZIBAR NI NCHI YA KIISLAMU JAMANI,KWANI ZANZIBAR KUNA WAISLAMU PEKE YAO,AFU KESHO UTASKIA WATALII WAMEPUNGUA ZANZIBAR...