Sure.
Nyerere was a disgrace to this nation.
Even though we are all going to die but thanks god for taking his soul away.
Uzushi tu huu, hakuna jipya
Pasport ya Zanzibar ikoje?
Thats an interesting question to say the least...
Sidhani kama ni ishue kubwa sana. Mwenye right ni yule mwenye haki ya kuoiga kura Znz it's that simple.
Katiba waliyopitisha ni kuwa raisi wa Zanzibar atakuwa mmojawapo wa Makamu wa Rais. Full stop.Karume nae yumo kwenye list wanaoutaka urais wa JMT , balaa la Zanzibar utaliona May 2015 baada ya ccm kupitisha mtu wa bara ....tuombe uzima
Ambaye ni nani?
Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Kisarawe na wazazi kutoka zanzibari kabla ya Mapinduzi ana haki ya kupiga kura Zanzibar au hana?
Kichuguu aliyezaliwa Zanzibar na wazazi wa kutoka bara baada ya Mapinduzi ana haki ya kupiga kura Zanzibar au hana?
Kwa sheria ya Znz huwezi kupata Passport ya kusafiria kama huna au hujathibitisha Uraia wako.
Kama kazaliwa Znz na si mkaazi na wala hana makaazi ya kudumu Znz hana haki ya kupiga kura.
Lakini kitopiga kura hakumvui Kichuguuu uraia wake
Perhaps we can revisit sheria ya kuoiga kura Znz inasemaje?
Natumai bado ni tetesi ila kama Mchumi naisubiria kwa hamu hiyo dosier kwani zisije kuwa kelele za kisiasa tu. Mie siiungi mkono vipengele vingi vya katiba ila nimefurahi swala la utaifa wa kitanzania kwani Rasimu ya Warioba ilitishia uhai wa Tanzania.
nyie tanganyika mnaponzwa na kitu gani kuingangania zanzibar kiasi icho??? km si njaa na choyo, kama visiwa mnavyo tele, kama bahari mnayo, kama ardhi mnayo, sioni mnachohitaji kutoka zanzibar
Uraia wa wapi?
Kwa hiyo uraia si kigezo, na kwa hivyo paspoti ambayo umeitaja kuwa inaendana na uraia si kigezo.
Sasa kigezo cha kupiga kura ni nini?
Uraia wa wapi?
Unaweza kuwa na sheria isiyo na mantiki vile vile, but that is not a bad place to start.
Swali la kigezo cha kupiga kura halijajibiwa bado.
Umeshasema uraia si kigezo.
Ndugu zetu wenye asili ya bara walioenda kufanya kazi mahotelini Zanzibar, wakazi wa huko, waruhusiwe kupiga kura?
Ikiwa hivyo, kwa kigezo au vigezo gani?
Kiranga,
Spot one my brother ndio maana nikasema mjadala wa referendum nadhani utaanzia mahakamani kuuliza nina ana haki ya kupiga kura zanzibar? Na pili kama kigezo cha mzanzibari ni kitambulisho cha uzanzibari mkaazi je wale wasiokuwa wakaazi lakini wamezaliwa zanzibar unasemaje wao ni raia au siyo?Tatu kuna wabara walio na vitambulisho vya uzanzibari mkaazi lakini sio wazaliwa wa pale na wala hawana wazazi wa pale je nao kwanini wapewe haki ya kuamua mustakabali wa wazanzibari??
Maswali ni magumu haya wajameni!!!
huwajui wazanzibar wewe , muulize marehemu karume .
Natumai bado ni tetesi ila kama Mchumi naisubiria kwa hamu hiyo dosier kwani zisije kuwa kelele za kisiasa tu. Mie siiungi mkono vipengele vingi vya katiba ila nimefurahi swala la utaifa wa kitanzania kwani Rasimu ya Warioba ilitishia uhai wa Tanzania.
me nawajua na leo wamekata viuno dodoma pale,kama kweli wapo serious wangepingana na katiba,,,,,
Watu wapewe nchi yao ni haki yao!!!