Zanzibar strikes again !

Zanzibar strikes again !

kuitaja Tanganyika unatafuta matatizo na CCM ,wale wote mnaotetea kuwa tanganyika ndio pekee inayochangia ,itakuwa mnapingana na Yule waziri mkuu mh.PINDA maana yeye hajui wale wanao izungumzia na kutaja TANGANYIKA wanakusudia nchi gani ,hivyo kusema Tanganyika inachangia mtakuwa mmepoteza dira ,ni bora mkasema CCM ndio inachangia kuliko kusema Tanganyika. maana haipo.
 
Miaka 47 sasa hawatoa Mchango kugharamia Muungano , kumbe pesa wanayo? Kama pesa ipo Mbona hawalipi mishahara watumishi wao?hata posho Zimewashinda? Kila kitu Tanganyika ndio analipia ! Pesa za zenji wamehifadhi kwa ajili ya kununulia dhana za kivita kisha wazitumie kudai Uhuru wa kujitenga.

Nadhani wakulaumiwa ni sisi wenyewe na ujinga wetu.
 
Back
Top Bottom