Zanzibar soon to fire a rocket to the outer space!

Zanzibar soon to fire a rocket to the outer space!

mnisamehe kama mimi peke yangu ndo sijawa impressed, nachoona hapo sanasana ni combustion process tu jamaa anafeed more air which inturns combust na kutoa hiyo flame, kusema atarusha rocket just from that ni ndoto za mchana, siamini mtu utakataa kwenda sehemu kama canada ambapo science wako mbali sana na labs za kutosha kusema ubaki bongo utengeneze rocket, hahhaa! ingekua engine za boti sawa, ila kurusha rocket kuna kuunganisha disciplines nyingi sana, kuanzia physicists, mechanical engineers, aerospace engineers, hadi computer scientists, ni ndoto kusema kazi ya watu zaidi ya mia itafanywa na mtu moja.

Ila all in all ni vizuri kuona watu wana ndoto na kuzifanyia kazi, at least kafanya kitu ambacho unaweza wapa graduates wengi wa vyuo vikuu bongo na wakashindwa hata kukuelezea kinachofanyika hapo ni nini.
 
Back
Top Bottom