Zanzibar Ruksa Kujiunga FIFA

Zanzibar Ruksa Kujiunga FIFA

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
431
Reaction score
61
Katika hotuba ya kulihutubia bunge maalum la katiba,rais JK amesema moja ya mambo ambayo Zanzibar inaruhusiwa ni kijiunga na taasisi na mashirika mbalimbali ya Kimataifa,kwa maana hiyo Zanzibar sasa inaruhusiwa kujiunga na FIFA,je Tz itakuwa inashiriki michuano mbalimbali yanayoandaliwa na FIFA kwa jina gani hasa?
 
Bila shaka anajaribu kujibu kama Zanzibar ni nchi au si nchi
 
nadhani inakidhi kwa sababu hiyo haitakuwa mara yao ya kwanza kuomba,wameshawahi kujaribu,wakakosa kwa sababu hiyo hiyo ya uwepo wa JMT,hata CUF nao wanatambua uwepo wa vilabu vya visiwa Zanzibar ila sio timu ya Taifa
 
Ndio maana Tanganyika ni muhimu kwa sasa. Muunngano wetu ni wa Tanganyika kuing'ang'ania Zbar.
 
Kama kuna kitu kitahamasisha maendeleo ya soka visiwani ni kupata uanachama kamili wa Fifa. Sijui kikwazo ni nini?
 
Back
Top Bottom