CHIEF MVUNGI
Member
- Apr 6, 2012
- 99
- 15
...mapambano mema...
Usiupotoshe umma ndugu yangu, wanaokataa muungano huu feki sio kikundi cha uamsho tu, bali ni waZanzibari wengi kwa umoja wetu.Kile kikundi cha UAMSHO kinachodai zanzibar huru kikidai hakitaki muungano sasa hivi kinatawanywa na FFU kwa mabomu ya machozi na risasi baada ya risasi kadhaa kupigwa hewani.
Wapo hapa Kisonge wakitaka kuelekea kituo cha polisi cha MKUNAZINI. Fujo hizi ni baada ya viongozi wao leo kukamatwa baada ya swala ya magharibi na leo walikua na mkutano eneo la Lumumba.
Safi sana peleka rumande wote, tatizo si kupewa ZNZ yao hila namna ya upotoshaji wale mashee wanayoleta. Maana wale hata ZNZ ikiachwa kama wanavyodai, ujue wakitoka hapo watasema hawataki secular na uongozi uliopo ZNZ na hapo ndio mabomu ya al-khaeda yatapo ingia safi sana.