mbona iko waz!! Pia zaidi tu asisahau kuwa Tanganyika ni nchi ilo pata uhuru wake 1961, Tan zania ni muungano wa nchi mbili.Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili
Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU
Tukiwa Serious, Je Huyu si kwamba amevunja Katiba ya JMT?
Katiba ya Znz ipo wazi kabisa na imetamka HILO bila kificho KUWA ZNZ NI NCHI.
Hata mkikereka UKWELI NDIO HUO.
Hii sio Habari Mpya, wabongo tulilala tukapigwa bao
mbona iko waz!! Pia zaidi tu
asisahau kuwa Tanganyika ni nchi ilo pata uhuru wake 1961, Tan zania ni
muungano wa nchi mbili.
Katiba ya Znz ipo wazi kabisa na imetamka HILO bila kificho KUWA ZNZ NI NCHI.
Hata mkikereka UKWELI NDIO HUO.
Wanao kataa kuwa Zenji siyo nchi ni wale wanao wafunika watanganyika blanketi zito ili wasidai Tanganyika yao.
Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili
Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU
Wanao kataa kuwa Zenji siyo nchi ni wale wanao wafunika watanganyika blanketi zito ili wasidai Tanganyika yao.