Sikiliza kwa makini utagundua kuwa hata ndugu wa mgonjwa walimfata muuguzi na usafiri that means hakai karibu na hospital,Mimi kwa kumsikiliza anavyojibu, naona dhahiri hata kwa wagonjwa itakuwa ni mwendo wa kuwakaripia na kujibu hovyo.
Kubadili nguo kunachukua muda gani, ilhali unasikia sauti nje za watu ambao unajua wapo hapo kupata huduma?
Ningekubaliana naye kuwa kapitiwa na usingizi, kutokana na uchovu na kufanya kazi muda mrefu, pengine hakuwasikia. Lakini kubadili nguo, moaka mtu anajifungua mwenyewe, hapo ndipo ninapoona kuna shida.