Narudia tena. Mtu akinunua gari jipya la kubebea mizigo na ku-convert kuwa basi la abiria ni sawa simply because gari lilikuwa jipya? Yaani ku-convert gari la mizigo kuwa basi la abiria ina uhusiano gani na mnunuzi kumcha Mungu? Kwa hiyo basi kama anamcha Mungu ruksa ku-convert ferry iliyokuwa inabeba abiria around 700 to zaidi ya 1,500?
Habari zinasema wazi kabisa kuwa the ferry was not designed for East African lines which requires as much passengers space as the vessel can host. Walichofanya ili kupakia abiria 1,500 ambao ni zaidi ya abiria wanaokubaliwa kwenye hiyo ferry, ni ku-convert hiyo ferry from ferry shipping into cruise world. Hii itawezesha Azam kupakia abiria wengi on the same deck as cars. Kwa nini abiria wapakishwe kwenye deck iliyukuwa imetengezwa kwa ajili ya magari tuu? Kama huu si utapeli ni nini?
Tunafuata rules na sio nani anamcha au asiyemcha Mungu. Siku haya makosa yakisababisha hii ferry kumwaga ndugu zako baharini utakuja hapa na kusema kuwa ni sawa kabisa kwa vile mmiliki wa hiyo converted ferry ni mcha Mungu?