Zanzibar: Meli mpya yawasili!

Zanzibar: Meli mpya yawasili!

Sio used hii?

Yes, it is. Tena wamei-convert ili ibebe abiria wengi tofauti na ilivyokuwa designed. It is not designed for East African lines which requires as much passengers space as the vessel can host.
 
Ahsante bakhressa,mungu akubariki kwa kuwapenda watanzania wenzio hususan wazenj,jitahidi uweke nauli ya chini ili kina balahau waweze kumudu nauli ya kusafiria hii meli mpya,mungu akubariki sana ewe s.s. Bakhressa ameeen.
 
Kama wameimodify basi itakuwa ni hatari siyo siri!!!

That's what I'm talking about. Why convert a normal ferry to a cruise world just to accommodate more passengers? Does it mean that kinachoangaliwa hapa zaidi ni pesa kuliko uhai wa watu? The ferry was not designed for East African lines which requires as much passengers space as the vessel can host.
 
Ahsante bakhressa,mungu akubariki kwa kuwapenda watanzania wenzio hususan wazenj,jitahidi uweke nauli ya chini ili kina balahau waweze kumudu nauli ya kusafiria hii meli mpya,mungu akubariki sana ewe s.s. Bakhressa ameeen.

Siku ikizamisha watu nyie ndo wa kwanza kuja kulalama hapa.
I bet ilivyoletwa Spice Icelander mlisema hivyo hivyo.
 
Heh, kumbe ilikuwa ferry? Hii ni hatari sana manake ferries are not meant to be used in deep and open sea navigation, si ni yale yale ya Skagit na Space Islander yatajirudia? Nchi hii makosa tunayoyafanya mara kwa mara hayatufundishi lolote kweli?

It is reported that she has been purchased from Greek shipowner Tsokos Line operating ferries between mainland and Island of Evbia (one of the largest Greek island, only separated from the mainland by a few miles). Bara na Pemba via Unguja kuna miles ngapi?
 

Fantastic... Sasa itakuwaje MUUNGANO UKIVUNJIKA ? HIYO MELI ITAKUWA INAFANYA

ZIARA kati ya PEMBA na
ZANZIBAR ?

.......aiseeeeh ! umefikiria mbali ! ......maana utani utani, linaweza likawa banda la kuku !
 
Nimekuuliza mtu akinunua gari jipya la kubebea mizigo na ku-convert kuwa basi la abiria ni sawa simply because gari lilikuwa jipya? Hapo nahitaji kuwa ndani ya mawazo yako ili kujibu swali?

Hiyo Infanywa na FISADI... Kwa huyu MZEE sidhani atafanyia WANANCHI Ufisadi Huo na huku anaswali

swala ZOTE MSIKITINI...
 

Hiyo Infanywa na FISADI... Kwa huyu MZEE sidhani atafanyia WANANCHI Ufisadi Huo na huku anaswali

swala ZOTE MSIKITINI...

Using religion as an excuse eh? Jibu swali.
 
Saaafi sasa tuweza enda na Vitz zetu ZnZ kula raha kuliko zile Laki za Kukodi Gari HaDI Kendwa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hONGERA SANA BAKHRESSA. hii ndiyo faida ya kuwa na mabepari katika nchi. wao mabepari siku zote huangalia quality kabla ya kununua kitu. Hii meli inanikumbusha kivuko kimoja kipo pale new york city kinachopeleka watu starten Ireland. kinachukua watu 1000 kwa mpigo na humo ndani ni mzuri sana kama ilivyo hiyo meli ya bakhressa.

kama hii tenda ya kununua meli angepewa mwansiasa wa bongo basi yeyey angeleta meli bovu la mwaka 1947 halafu anchikichia pesa mfukoni.

umenena vyema mkuu, laiti nchi yetu ingewatumia vzr matajiri tulionao wangewekeza ktk sekta nyingi na kupunguza matatizo mengi tuliyonayo.
Tunachojua ni kuwatumia kuchangia vyama tu na sio kufanya mambo ya maendeleo kama hayo.
 
Mungu atuepushie mbali mkuu, lakini kuna baadhi ya ajali huwa tunazitafuta wenyewe, ukiangalia mabasi mengi yanayoanguka anguka ama kuwaka moto ovyo ni matokeo ya watu malori kugeuza mabasi, eti mtu tractor anarefusha chassis na anaunda basi na wiring wanafanyia mitaani kuepusha gharama, sasa kitakachoangaliwa kwenye hiyo pantoni ni upya wake na wala kwamba imetengenezwa kwa ajili ya masafa na kupakia abiria kiasi hicho.

Hata mie nilidhani itakuwa inavusha watu Kigamboni, kumbe ni ya kupiga masafa after being converted.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
huyu jamaa namzimia sana, yeye ni action tu bandika bandua huwezi kumsikia akipiga kelele! Big up sana Azam
 
Using religion as an excuse eh? Jibu swali.

Here we go... Ni Mcha MUNGU hawezi kufanya UTAPELI sasa wewe Umekuwa MTAFSIRI?

EMT I thought U were better than that !!!
 

Fantastic... Sasa itakuwaje MUUNGANO UKIVUNJIKA ? HIYO MELI ITAKUWA INAFANYA

ZIARA kati ya PEMBA na
ZANZIBAR ?

Wewe kweli kiboko... Sasa hizo ndege za Ulaya ,Asia na Marekani zinazokuja TZ kila siku zilihitaji Muungano na Tz kufanya safari zao? Kuna uhusiano gani baina ya Meli na Muungano ? Au ndio unataka kutengeneza uwongo, kwamba kabla ya Muungano kulikua hakuna safari za baharini baina ya Tanganyika na Zanzibar?
 
Here we go... Ni Mcha MUNGU hawezi kufanya UTAPELI sasa wewe Umekuwa MTAFSIRI?

EMT I thought U were better than that !!!

Narudia tena. Mtu akinunua gari jipya la kubebea mizigo na ku-convert kuwa basi la abiria ni sawa simply because gari lilikuwa jipya? Yaani ku-convert gari la mizigo kuwa basi la abiria ina uhusiano gani na mnunuzi kumcha Mungu? Kwa hiyo basi kama anamcha Mungu ruksa ku-convert ferry iliyokuwa inabeba abiria around 700 to zaidi ya 1,500?

Habari zinasema wazi kabisa kuwa the ferry was not
designed for East African lines which requires as much passengers space as the vessel can host. Walichofanya ili kupakia abiria 1,500 ambao ni zaidi ya abiria wanaokubaliwa kwenye hiyo ferry, ni ku-convert hiyo ferry from ferry shipping into cruise world. Hii itawezesha Azam kupakia abiria wengi on the same deck as cars. Kwa nini abiria wapakishwe kwenye deck iliyukuwa imetengezwa kwa ajili ya magari tuu? Kama huu si utapeli ni nini?

Tunafuata rules na sio nani anamcha au asiyemcha Mungu. Siku haya makosa yakisababisha hii ferry kumwaga ndugu zako baharini utakuja hapa na kusema kuwa ni sawa kabisa kwa vile mmiliki wa hiyo converted ferry ni mcha Mungu?
 
Back
Top Bottom