Zanzibar: Meli mpya yawasili!

Naogopa kusema lolote kwa sasa, maana likitokea jambo tu, itaanza kusemwa hii meli/boti ilitengenezwa enzi za titanic, tuombe Mungu yote yaende salama
 

Fantastic... Sasa itakuwaje MUUNGANO UKIVUNJIKA ? HIYO MELI ITAKUWA INAFANYA

ZIARA kati ya PEMBA na
ZANZIBAR ?

HII MELI NI YA SAFARI NDEFU PWANI YA aFRIKA MASHARIKI YOTE ITATEMBEA NA UKIZINGATIA ALSHABABU HAWANA NGUVU ITAKUWA COST YOTE YA HINDI.
 
Hongera yake bwana bakhressa
hONGERA SANA BAKHRESSA. hii ndiyo faida ya kuwa na mabepari katika nchi. wao mabepari siku zote huangalia quality kabla ya kununua kitu. Hii meli inanikumbusha kivuko kimoja kipo pale new york city kinachopeleka watu starten Ireland. kinachukua watu 1000 kwa mpigo na humo ndani ni mzuri sana kama ilivyo hiyo meli ya bakhressa.

kama hii tenda ya kununua meli angepewa mwansiasa wa bongo basi yeyey angeleta meli bovu la mwaka 1947 halafu anchikichia pesa mfukoni.
 
Naamini atakuwa amezingatia sea safety kwa life jackets za kutosha. Otherwise Azam Marine imesaidia sana usafiri Zenj.
 
Ni mpya au imepakwa rangi. Maji ya bahari au ziwani, isije ikawa kama hizi zilizozama.


Kwa Ukweli ni MPYA... Tuache SIASA kuna picha earlier walionyesha ikiwa inatengenezwa; Halafu ni ya

BAHARINI Nadhani Kufika Zanzibar haikubebwa kama ZINGINE; halafu ina nguvu Inapambana na

MAWIMBI MAKALI ya
BAHARI ya PACIFIC; kwahiyo BAHARI yetu ya HINDI haifui DAFU na Inaweza

kupiga Masafa Marefu zaidi ya
DAR-ZANZIBAR - TUACHE FITINA HIKI NDIO CHOMBO

KILICHOTAKIWA NA KIPYA sio Second Hand...
 
Kweli Mzee Bakhresa anastahili kuwa katika jarida la matajiri la FORBES, anatisha.
 


Wasalaam, Nimekuuliza PICHA nami NIMEPATA PICHA na WEWE UMEZIPATA... I like that...

Very Updated News...
 
Dah ningekua namapenzi na kuitembelea Zenji ningeipanda lakini kwa kua sina mpango wala sijisumbui. . . .
 
hongera Azam kwa kuwekeza ndani,japo haupo katika walipaji wakubwa wa kodi.
 

MELI ZA MZEE AZAM unajua hazijawahi KUZAMA???

mkuu kama hazijawai kuzama ni mpya.? Lakini nikiangalia hata magari yake mengi anachukua mapya hivyo sitilii shaka ubora wake.
 
Kwa Ukweli ni MPYA... Tuache SIASA .

Kwa hiyo mtu akinunua gari jipya la kubebea mizigo na ku-convert kuwa basi la abiria ni sawa simply because gari lilikuwa jipya? Siku ikizama tena huko baharini uje utuambie ilikuwa mpya! Use your brain. Do research to know the details.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…