Zanzibar: Mbunge wa jimbo la wawi Mohammed Juma Ngwali (CUF) ajivua uanachama wake na kujiunga na CCM

Mi sina ugomvi na raia kujichgulia chama akipendacho
Ila leo nilishangaa kusikia watangazaji wa redio moja hapa jijini wakifanya mzaha wakati wa kutangaza habari hii.

Mmoja wao alicheka na kusema mbunge huyu ametoka chama cha madevu. Wenzake hawakumkanya. Vyombo vya habari lazima vidhibitiwe ili wasifanye mzaha wawapo kazini bali watumie maneno ya staha na heshima. Je mamlaka husika itachukua hatua gani?
 
Mi sina ugomvi na raia kujichgulia chama akipendacho
Ila leo nilishangaa kusikia watangazaji wa redio moja hapa jijini wakifanya mzaha wakati wa kutangaza habari hii. Mmoja wao alicheka na kusema mbunge huyu ametoka chama cha madevu. Wenzake hawakumkanya. Vyombo vya habari lazima vidhibitiwe ili wasifanye mzaha wawapo kazini bali watumie maneno ya staha na heshima. Je mamlaka husika itachukua hatua gani?
Alafu wakifungiwa wanaanza kulia lia
 
Kwani mbalimbali yuko CUF au ndo kanza watu wake maana leo alikuwa ikulu
 
Ah Bwana Ngwali nasikia ACT wamekugomeeni kugombania Ubunge jimboni kwako. Je, utapita kupitia CCM au wamekuahidi watakusaidia kukuibia kura?

Najua mpo wengi mnataka kuhamia CCM kwasababu ya Ubunge.
 
mr.London,

Samahani kidogo, lakini napenda kukuelimisha kuwa unaposema Zanzibar unamaanisha visiwa vya Unguja na Pemba, kwa hiyo unaposema Pemba na Zanzibar huwa hufahamiki na ni unakosea sana. Ni hilo tu.
 
mr.London,

Samahani kidogo, lakini napenda kukuelimisha kuwa unaposema Zanzibar unamaanisha visiwa vya Unguja na Pemba, kwa hiyo unaposema Pemba na Zanzibar huwa hufahamiki na ni unakosea sana. Ni hilo tu.

Hili sikosei mimi tu na watawala pia wametugawa hivyo hivyo katika nyanja mbali mbali wanaposema ama kutaja husema Pemba na Zanzibar kwamba kule Unguja ndio wenye hati miliki ya neno Zanzibar ni kama vile Tanganyika kuacha asili yao na kujipachika kwenye Jamuhuri ya Muungano. kwaiyo twendeni hivyo hivyo
 
Hili jimbo la Wawi sijui linashida gani!!! Huku si ndio alitoka Hamad Rashid Mohamed?
Ndio mkuu. Hili ndio jimbo pia ametoka Marehemu Daktari Omar Ali Juma bin Ismail huyu aliekuwa Makamo wa Rais. Pia Wana undugu wa karibu sana na Mhe Hamad Rashid Mohamed.
 
Back
Top Bottom