Democracy999
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 945
- 190
Wakuu nimekuwa katika safari za kikazi Zanzibar katika pwani za Marumbi na Chwaka.
Nimegundua kuna hoteli ya Msomali yenye kima monkey mkubwa mlangoni (wa kuunda) hoteli hii tumeingia na kukuta ikiwa full shwari na wafanyakazi wapo kama kawaida.
Tulichogundua hajawi kuingia mteja hata mmoja wa kulala au kula, bali wa kuja kama kutembea na kuondoka ghafla.
Kumbe hoteli hii inayomilikiwa na Msomali tuliambiwa jina moja (ADNAN) si mzalendo ila ndio hao hao Uamsho kwa hiyo wanafichwa.
Biashara ya hapo ni kuuza Madawa ya Kulevya tu.
Wakuu wenye data zaidi mtujuze au nirudi kesho kwa details zaidi.
Una ushahidi kama ni Muamsho na una ushahidi kua wanauza Unga au ndio ujioneshe kama na wewe upo..Haya tushakuona
aiseeeee babaangu mi nadhani piga 112 atapokea kamanda kova aka mzee wa intelejensia umpe haya maelezo
Kwa hiyo nisitoe taarifa sio? mimi nipo kikazi zaidi, mimi ni kati wale wasomtizama mtu sura.Kwani analazimisha mtu kununua.Huwezi kupata msaada polisi zaidi ya kutafuta uhasama na watu.Ref taarifa zote za nyuma
fanya uchunguzi, ukikamilika ndo uje hapa jamvini umwage taarifa kamili with evidence na uipeleke polisi na taasisi nyingine zinazo husika.
Sio unakuja na habari nusunusu huku ukituhumu watu bila uthibitisho.