Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Kama uchaguzi umefanyika kwa njia ya uhuru na matokeo yakatangazwa kwa majimbo zaidi ya nusu na wajumbe wa Baraza la wawakikishi walioshinda kwenye uchaguzi wameshakabidhiwa hati za ushindi.Kwanini maalim sefu anaogopa kurudia uchaguzi?
Hivi katika mazingira ya aina hiyo kuna sababu gani za msingi za kurudia uchaguzi huo?
Kinachoonekana hapo ni CCM kushinikiza uchaguzi huo urudiwe kwa sababu kwa matokeo ambayo waliyaona na kuyapokea waligundua kuwa Maalim Seif alikuwa ameshashinda Urais kwenye uchaguzi huo.