Zanzibar kuwe na sarafu yao kuondoa utata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar kuwe na sarafu yao kuondoa utata

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Inkoskaz, Nov 27, 2011.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Wadau.
  Hili jambo la rates tofautI za custom,excise and duty tax kati ya bara na zbr zinachanganya wafanyabiashara. Kama mamlaka hizi za kodi haziwezi kuweka rates sawa bac PBZ Wawe na currency yao ili iendane na ushuru wake
  tusiweke udini pls..tujadili uhalisia wa mambo.ukilipa ushuru zbr ukija bara unachajiwa tena..kwani unguja si sehemu ya tz?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  ukitoa gari bara ukaingiza unguja no problem.matata ni pale ukitoa unguja kuleta bara
   
Loading...