Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU.
Dunia ya sasa ni juu ya umoja na ushirikiano. Tazama nchi za jumuiya ya Ulaya, wanazidi kuwa wamoja. Mifano ipo wazi, ni umoja wao katika kutafuta mafuta ya Afghan, Iraq, Kuwait, na sasa Libya kwa maendeleo ya watu wao na nchi zao. Zamu ijayo itakuwa ni Mafuta ya Unguja, Uranium ya Tanganyika, Mafuta ya Sudan ya Kusini, Mafuta ya Uganda, Angola n.k
Jumuiya ya Ushirikiano ya Afrika Mashariki inategemea kumpata Sudani ya Kusini kama mwanachama mpya mwaka huu. Iweje sisi Watanzania tufurahie kuuvunja Muungano wetu? Mimi binafsi, ninadhani maeneo yote yenye utata kwenye Muungano wetu yanazungumzika, hivyo yawe wazi na tuyazungumze ili tupate muufaka kwa munufaa ya Nchi yetu Tanzania.
Muungano ukivunjika, sehemu zote za Tanganyika, Unguja na Pembe haizitakaa ziwe huru na salama. Tanganyika itajikita zaidi Magharibi, Pemba na Unguja wataegemea Middle East. Kihistoria, Magharibi (Ukristo) na Middle East(Uislamu), piga ua na garagaza sehemu hizi ni MAHISIMU.
Wito wangu: CHONDE CHONDE, tusidhubutu kuukaribisha uhasimu huo katika nchi yetu, maana utatumaliza.
Mkuu.HAWA wamanga tuwaacheni wajitenge! kwanza wamekuja bara kutuletea udini, ubaguzi majungu, nothing more!!
Wabaguzi, wadini wapenda majungu, wavivu yaani their just a chaos to us!!
huu utafiti wako unaoonesha kuwa 90% ya wazanzibiri hawautaki muungano umeufanya lini ili tusije elezea hisia zetu kwa kuwabambika wananchi.
na ukitazama vyema utaona kwamba nchi zakimbilia kuungana na sio kujitenga kama utakavyo wewe.
kama kuna mapungufu kwenye muungano kwanini usipendekeze yafanyiwe kazi?
Mkuu unakuwa kama mgeni na issue zinazohusu muungano? Zingatia haya;
Mimi naupenda Muungano but wanzanzibar wanakera mno,chokochoko nyingi wakati kiuchumi bado wako hoi....kama tunataka kuendelea nao tufanye mchakato wa kuwa na serikali tatu...FULL STOP...
- Mara ngapi ile kamati iliyochini ya Makamu wa Rais na waziri kiongozi(kabla ya marekebisho ya katiba zenji) walikaa na kutudanganya kuwa mapungufu yanafanyiwa kazi na hatuoni mabadiliko?
- kwanini bado watanzania mnapenda kuendelea kudanganywa kwa mambo yaliyowazi?
- Kwa hakika mapungufu ya Muungano HAYAZUNGUMZIKI tusidanganywe na viongozi wasio waadilifu na wasio litakia mema taifa hili..
- Kama bado tunaupenda Muungano hatuna budi kubadilisha mfumo wake hasa katika serikali...
Mkuu.Umoja ni nguvu ikiwa wote mnajenga kitu kimoja. Lakini kama mmoja anajenga kitu chake kwa kutumia fito za wote inakuwaje? Zenj hawatumii tu fito za wote ila wanachomoa fito zilizojengwa kwenye nyumba. Kwa mfano walidai wapeperushe bendera yao - wakapata; wakataka wimbo wao - wakapata. Walipobadili katiba ili wajitenge zaidi wakasema Znz ni nchi. Hapa wakavunja katiba ya muungano kwa waziwazi ila mkuu wa nchi amawanyamazia. Hapo kuna muungano?
Nchi kibao hazijaungana na zimeendelea, kama ni ishu ya kiusalama, kwani sasa ndio tuko salama. Kuusu uchumi wa zanzibar kuna nchi nyingi tuu zimeendela bila kuwa na natural resource kama za kwetu, hivyo hawana cha kupungukiwa, watajipanga tuu. Nashangaa eti viongozi wetu waliunganisha nchi bila dhini yetu alafu wanaanza kutulazimisha tuone faida zake.
Nitafurahi sana wanzanzibar mkifunja muungano maana nitakuwa wa kwanza kuhakikisha mnarudi kwenu haraka na kuachia mashamba,maduka mrudi kwenu maana mnazaa zaa 2,m2 m1 watoto 24,rudin kwenu mna2jazia nchi ye2.
[FONT=Times,Times New Roman]"Without any question, the manner and the implications of the union between Tanganyika and Zanzibar is the most misunderstood aspect of Tanzania's political development. It may not matter very much when foreigners get confused, but unfortunately there are many times when Tanzanians themselves appear to misunderstand it."[/FONT] [FONT=Times,Times New Roman]Former Tanzanian President Julius Nyerere.[/FONT][FONT=Times,Times New Roman]Dar es Salaam Government Printer, July 1970. p. 3.[/FONT]
[FONT=Times,Times New Roman]KAMA NYERERE NDO ALIKUWA ANAUELEWA HUU MUUNGANO-NA YEYE HAYUPO-NI BORA TUUVUNJE-HATUWEZI KUFWATA KITU AMBACHO HATUKIELEWI-NDIO MAANA KINATUCHAGANYA HIVI[/FONT]
Mkuu.
Mimi ni mpenda Muungano lakini huu wetu sisi si Muungano ni a big mess.
Pia sikubaliani na dhaya ya Tanzania kuwa ni nchi moja.
Kama ni wakweli. Muungano uliitwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Muungano ulipewa mamlaka fulani kutoka kila upande.Tanganyika ilitowa mamlaka fulani na Zanzibar ilitoa mamlaka fulani kuyaweka chini ya mamlaka ya Muungano.
Tanganyika ilibakisha mamlaka fulani na Zanzibar ilibakisha mamlaka fulani.
Hii ilifanya kuwepo mamlaka tatu katika nchi mbili. Mamlaka ya Tanganyika, Mamlaka ya Zanzibar na mamlaka ya Muungano.
Vipi Tanzania imekuja na kuwa nchi moja..it is beyond any one's explanation.
Kama una maelezo au uelewa tofauti na huu kuhusu muungano uweke wazi hapa.
Vipi Tanganyika imepotea mimi sana maelezo, sifahamu kivipi imepotea....ninachokiona ni woga wetu wa kutaja Tanganyika , badala yake tunasema Tanzania au Tanzania bara. Kuna mambo ya Tanganyika aka Tanzania bara na wizara zisizo za Muungano, au vipi?
Udhaifu huu unatufanya tuwalaumu Wazanzibari kuwa hawataki nchi moja na serikali moja. Nani amechafua Muungano? nani amefuja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?
Kwa uelewa wangu viongozi wetu wa Tanganyika ndio wamecheza mchezo mchafu. Wapi wameipeleka Tanganyika hata kuitaja kwa jina hawataki. Hata siku ya uhuru wanasema uhuru wa Tanzania au Tanzania bara.
Wapi umeona au umesikia nchi zinapoungana zinapotea au majina yao ya zamani yanafukiwa kaburini? That happens only to one country, Tanganyika...why?
Mbona hawa Wazanzibari wanayo Zanzibar?
Tusiwe wanafiki, tuseme ukweli. and truth will set us free!!
Hapa umeacha hoja na kuingiza chuki binafsi
mimi nashindwa kuelewa-viongozi wanang'ang'nia kuwa mwalimu alisema muungano ukivujwa..sijui kutakuwa na hili na hili...na maneno mengine mengi tu yakutisha.Mi naona ule ni mtizamo wake yeye mwalimu-mbona kuna union nyingi zimeshavujwa hapa duniani regardless onyo zilizotolewa na waasisi wake-kwa nini sisi huu tunasita kuuvunjwa?huu ni woga wa kipumbavu-wakumbuke hata Statue of Zeus ilivunjwa bila kujali power zakeNow you are talking!
Nyerere aliamini ana akili ya kufahamu vitu kuliko mtanganyika yeyote au mzanzibari yeyote.
Well, amekufa na ufahamu wake wa Muungano na ametuachia fujo tu!
Ni vyema kama yeye alipoamua kuvunja EAC basi na sisi tuuvunje ili hapo baadae tukiona umuhimu wa Muungano tutauundwa upya bila ya ubabaishaji na ujanja ujanja.
UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU.
Dunia ya sasa ni juu ya umoja na ushirikiano. Tazama nchi za jumuiya ya Ulaya, wanazidi kuwa wamoja. Mifano ipo wazi, ni umoja wao katika kutafuta mafuta ya Afghan, Iraq, Kuwait, na sasa Libya kwa maendeleo ya watu wao na nchi zao. Zamu ijayo itakuwa ni Mafuta ya Unguja, Uranium ya Tanganyika, Mafuta ya Sudan ya Kusini, Mafuta ya Uganda, Angola n.k
Jumuiya ya Ushirikiano ya Afrika Mashariki inategemea kumpata Sudani ya Kusini kama mwanachama mpya mwaka huu. Iweje sisi Watanzania tufurahie kuuvunja Muungano wetu? Mimi binafsi, ninadhani maeneo yote yenye utata kwenye Muungano wetu yanazungumzika, hivyo yawe wazi na tuyazungumze ili tupate muufaka kwa munufaa ya Nchi yetu Tanzania.
Muungano ukivunjika, sehemu zote za Tanganyika, Unguja na Pembe haizitakaa ziwe huru na salama. Tanganyika itajikita zaidi Magharibi, Pemba na Unguja wataegemea Middle East. Kihistoria, Magharibi (Ukristo) na Middle East(Uislamu), piga ua na garagaza sehemu hizi ni MAHISIMU.
Wito wangu: CHONDE CHONDE, tusidhubutu kuukaribisha uhasimu huo katika nchi yetu, maana utatumaliza.
Let them **** off their ass, because their opportunist
Niko pamoja nawe mkuu. Aliyekufa ameshakufa na mahitaji yetu sasa hayawezi kuwa sawa. Ukweli ni kuwa mimi sikioni kipi kinachopatikana na pande mbili hizi iwapo tunakinzana kila siku?mimi nashindwa kuelewa-viongozi wanang'ang'nia kuwa mwalimu alisema muungano ukivujwa..sijui kutakuwa na hili na hili...na maneno mengine mengi tu yakutisha.Mi naona ule ni mtizamo wake yeye mwalimu-mbona kuna union nyingi zimeshavujwa hapa duniani regardless onyo zilizotolewa na waasisi wake-kwa nini sisi huu tunasita kuuvunjwa?huu ni woga wa kipumbavu-wakumbuke hata Statue of Zeus ilivunjwa bila kujali power zake