Mwimbaji maarufu, Abdalah Issa, ametoa kibao kipya kinachoonyesha kwamba kwa sasa CUF na CCM wameamua kikweli kushirikiana maana huyu wakati wote huwa anaimba muziki wa kuisifia CUF.
Anampongeza Rais Amani Abeid Karume, na Maalimu Seif Shariff Hamad, akisema Wazanzibari wameshapatana kuvinusuru visiwa vya Unguja na Pemba
hayo yanahusu nini hapa?Abdallah Issa ....... mtoto si rizki!
hayo yanahusu nini hapa?
Watu wengine bwana! hadi uchafue hali ya hewa?Abdallah Issa ....... mtoto si rizki!
Abdallah Issa ....... mtoto si rizki!
Ashakum si matusi: Aipatae harufu ya Nguru mwanzo, mara zote ni Mchomaji!Abdallah Issa ....... mtoto si rizki!
Kila la kheri Mola awe nanyi.Mumeusikiliza? Naona sasa kuna matumaini makubwa Zanzibar na kwa kweli nyuma ya pazia kuna watu mashuhuri wa kitoka Zanzibar ambao wameamua kuingilia kati; wamefanya hivyo kwa maslahi ya nchi yao na kwa kweli thistime hakuna wa kuwachezea tena hata hao sisiemu hakuna tena cha dodoma wala Dar
Mumeusikiliza? Naona sasa kuna matumaini makubwa Zanzibar na kwa kweli nyuma ya pazia kuna watu mashuhuri wa kitoka Zanzibar ambao wameamua kuingilia kati; wamefanya hivyo kwa maslahi ya nchi yao na kwa kweli thistime hakuna wa kuwachezea tena hata hao sisiemu hakuna tena cha dodoma wala Dar