FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,772
- 46,861
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!
nasi tumeungana na Afrika kusini bila kutangaza Je vipi?Wajiunge tu.ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano
lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha
weka source ndugu yetu, si unaona watu wameshaanza kashfa kwa zanzibar, unajua ukiweka source au evidence watu watakuheshimu zaidi, vinginevyo inaonekana ni majungu.Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!
sasa content ya thread si ni maoni yangu mwenyewe au.?? Kuhusu hiyo title jishughulishe mwenyewe usilete uvivu hapa..weka source ndugu yetu, si unaona watu wameshaanza kashfa kwa zanzibar, unajua ukiweka source au evidence watu watakuheshimu zaidi, vinginevyo inaonekana ni majungu.
Akili za kitumwa kweli kweli, yaani wewe unazungumzia kuendelea auluendelezwa?Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!
Akili za kitumwa kweli kweli, yaani wewe unazungumzia kuendelea auluendelezwa?
Wenye matope km yako hawachelewi kuwaza km fulani akimuoa dadaangu, maisha hapa home yatabadilika
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!
Wajiunge tu.ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano
lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha
Nadhani siku ikitokea hivyo wazanzibari watafrai sana maana wanahisi hawafaidiki na lolote na huu Muungano wa kulazimishana, wanahisi huu Muungano umesimamishwa na kuwepo kwa nguvu za dola, sasa wakijiunga na Dubai alau watajikwamua kiuchumi
Aisee! Kuna mdogo wangu jana kaingia chimbo (Mgodini) kesho asubuhi akitoka tunakwenda kuyauza nikalipe mkopo wangu niliokopa leo! Jamaa nimemuhakikishia mdogo wangu akitoka chimbo tu namlipa hela zake, coz hela zake nimenunulia gari leo hii!