Tanganyika iko salama
Jee mulisoma katiba ya Burundi pia kabla hamujaingilia mambo yake ya ndani?Jumuiya ya kimataifa lazima wasome katiba ya Tanzania inavyosema kabla ya kuchukua hatua zozote.Uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Hivyo wasijitie kushinikiza nchi jirani yaTanganyika itatue mgogoro wa nchi nyingine ya Zanzibar kinyume cha katiba.Kufanya hivyo ni sawa na kuinyima Tanzania misaada kuwa ni lazima itatue mgogoro wa Burundi wakati Burundi ni nchi huru yenye Raisi wake kama ilivyo Zanzibar.
Majeshi ya Tanganyika yanafanya nini Zanzibar?Jumuiya ya kimataifa lazima wasome katiba ya Tanzania inavyosema kabla ya kuchukua hatua zozote.Uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Hivyo wasijitie kushinikiza nchi jirani yaTanganyika itatue mgogoro wa nchi nyingine ya Zanzibar kinyume cha katiba.Kufanya hivyo ni sawa na kuinyima Tanzania misaada kuwa ni lazima itatue mgogoro wa Burundi wakati Burundi ni nchi huru yenye Raisi wake kama ilivyo Zanzibar.
Jumuiya ya kimataifa lazima wasome katiba ya Tanzania inavyosema kabla ya kuchukua hatua zozote.Uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Hivyo wasijitie kushinikiza nchi jirani yaTanganyika itatue mgogoro wa nchi nyingine ya Zanzibar kinyume cha katiba.Kufanya hivyo ni sawa na kuinyima Tanzania misaada kuwa ni lazima itatue mgogoro wa Burundi wakati Burundi ni nchi huru yenye Raisi wake kama ilivyo Zanzibar.
Mkuu usishangae akili za Lumumba hawa kutamka Tanganyika tu wanajawa na hofu na kupata kigugumizi.Uchaguzi sio Suala la Muungano, Jeshi jee sio Suala la Muungano?
Nani asiejuwa kuwa kwamba hakuna Uchaguzi uliofutwa isipokuwa yale ni Mapinduzi ya Kijeshi?
Unamdanganya nani mwenye akili kama zako?