Zanzibar kesho itapata uhuru wake

kwani tanganyika kwako ni kariakoo tu??
Acha kuchekesha watu wapemba mnaishi maisha ya shuda sana hapa tanganyika mpo uswahilini tu kwenye kijumba kimoja mnajazana 50, mtu anakioski tu cha kuuzia unga,mchele,pilipili, tangawizi anawake8 wanashindia ugali na dagaa,. Aa nyie wazanzibar ni shida tupu hyo baresa wenu akiamia huko atamuzia nani hayo maaskrim yake na mavyakula yake ya mangwea wakati nyie mmezoea kushindia ulojo,.
 
mkimaliza mkutano wenu muandae na tangazo kabisa kwa wapemba wote waliopo bara wafungashe virago.hakika me naawambia mkivunja muungano hawa jamaa nawatangaza maadui zangu na popote nikiwakuta nawazingua.hatuwataki muondoke

Kwani wapemba ndio wanaokulisha mpaka wawe maadui zako kwa kuvunjika muungano?
 
Kwanini iwe nongwa kwa wazenji kudai haki yao,pitieni histry japo kidogo kujua tanzania ni muungano wa nchi ngpi?au hili jina tanganyika linakutieni kichefuchefu?ZANZIBAR DAIMA.
 
Wasichojua waZenji ni kuwa adui wao ni CCM! Once CCM is out watapata nchi yao
 
Kwanini iwe nongwa kwa wazenji kudai haki yao,pitieni histry japo kidogo kujua tanzania ni muungano wa nchi ngpi?au hili jina tanganyika linakutieni kichefuchefu?ZANZIBAR DAIMA.

aah wapi shida ni unafiki wenu! Kikwazo ni CCM lakini hamjaitoa. Si hatuna cha kupoteza
 
mkimaliza mkutano wenu muandae na tangazo kabisa kwa wapemba wote waliopo bara wafungashe virago.hakika me naawambia mkivunja muungano hawa jamaa nawatangaza maadui zangu na popote nikiwakuta nawazingua.hatuwataki muondoke

Why?? Mbona wachina wapo na hadi wanaiba mchanga wa dhahabu lori kumi! Mi nataka kila nchi iwe kivyao
 
acha unafiki wewe!
 
mkimaliza mkutano wenu muandae na tangazo kabisa kwa wapemba wote waliopo bara wafungashe virago.hakika me naawambia mkivunja muungano hawa jamaa nawatangaza maadui zangu na popote nikiwakuta nawazingua.hatuwataki muondoke
Sawa kabisa waondoke,huyo Nasoro moyo ana nyumba amejenga Tanga,alipokuwa waziri,kila mara aja Tanga na familia yake kupumzika,ahame Tanga,Tanga ni Tanganyika si zanzibar.
 
Lekebisha siyo Abeid Amani karume ni Amani Abeid karume. Kama na mimi nimekosea mnikosoe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wapemba gani wenye biashara za maana,biashara zote ziko mikononi mwetu Wa Tanganyika,nyinyi rudini kwenu,umkalime karafuu,mume humtaki,kuondoka huondoki,ondokeni,mtuachie Tanganyika huru.
 
Baada ya hapo , pemba nayo itadai uhuru wake..!!! Ila sitapenda kuendelea kujadili sana hili.. nasubiri nione kama ni kweli.. isije kuwa ni speculation tuu..!!
 
Mimi nimekutolea mfano wakukuonesha jinsi tunawaweka mjini watu kama nyie mlotoka vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…