Democracy999
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 945
- 189
Nasikia wanailaumu CUF!!Ingekuwa bara wangesema mkon
o wa CDM! Zenji je ni nini?
ingekuwa bara wangesema mkon
o wa cdm! Zenji je ni nini?
Hivi vijitu bana....
Hawana busara hizoKwa amani ya nchi, polisi watumie busara, waache wananchi watumie haki yao ya kidemokrasia ya kukutana na kutoa mawazo yao. polisi walinde amani tu.
Nimefika sasahivi Zanzibar, ninachokiona LIVE ni mbio za Polisi na Wananchi waliovalia kiarabu cha ajabu wanaelekea North ya Zanzibar town eti Uamsho wanakutana hapo katika Viwanja vya Lumumba je Mkutano ni halali au haramu? magari mengi yenye kelele na bendera za Uamsho