Zanzibar imegeuzwa ‘mwanasesere’ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar imegeuzwa ‘mwanasesere’

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by abdulahsaf, Jun 28, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE]
  [TR]
  [TD]

  na Danson Kaijage, Dodoma


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE]
  [TR]
  [TD]MBUNGE wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF), ametoa mpya bungeni baada ya kudai kuwa Zanzibar imegeuzwa mwanasesere.
  Kutokana na hali hiyo, mbunge huyo aliwataka wabunge wote kutoka Zanzibar kutounga mkono Bajeti ya Waziri Mkuu kama haitatengewa fedha za rada.
  Akichangia mjadala wa hotuba ya Bajeti ya Ofisi wa Waziri Mkuu na taasisi zake, mbunge huyo alisema serikali imekuwa ikipoteza fedha nyingi kufanya sherehe za Muungano ambazo hazina matunda wala faida kwa Wazanzibari.
  Alisema mambo mengi ambayo Wazanzibari wanataka kuyafanya huwa yanapigwa chenga na kudharauliwa kama mwanasesere.
  Alidai kuwa kwa muda mrefu Wazanzibari wamekuwa wakitaka kujiunga na Jumuiya ya Kiislamu (OIC) na kuondoa mafuta katika suala la Muungano lakini mambo hayo hayajafanyika, jambo alilosema kuwa ni kuwacheleweshea maendeleo.
  “Hoja za msingi za Zanzibar huwa hazifanyiwi kazi lakini hoja zisizo za msingi zinapewa kipaumbele,” alisema.
  “Sisi fedha za mfuko wa jimbo za kila mbunge zinatusaidia nini wala suala la malipo ya umeme. Nitawalipia bili Wazanzibari wote, lakini msikubali kupitisha bajeti ya waziri mkuu kama hawatatenga fedha za rada kwa ajili ya maendeleo ya Zanzibar,” alisema Haji.

  Chanzo Tanzania Daima


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. a

  abousalah2 Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Choweya! Lazima useme ! Dharau, kibri! Majivuno lakini hasa kwa kipi! Salamu zao jana hata balozi seif amefahamu nia ya uamsho! Watakao sema uamsho gaidi, jambazi, shetani wanalao rohoni! Mwaka huu wamemeza moto matumbo yanawauma! Viongozi shikamaneni ! Wananchi tuko safi kwa zanzibar mpya ! Iso nashaka!
   
Loading...