Zanzibar ilipaswa kuwa zaidi ya Mauritius!!

Zanzibar ilipaswa kuwa zaidi ya Mauritius!!

Tatizo la Zanzibar ni kukubali kuwa koloni la Tanganyika, haitaendelea kamwe ,
Karume alikuwa na vision , aliondoka na vision zote, Rais wa znz anachaguliwa na Tanganyika kule Dodoma, maamuzi yote yanategemea bara, siasa za Tanganyika ndio zinazoleta umasikini znz
Kwani Dodoma siyo sehemu ya Tanzania?
Pia Dodoma ni makao makuu ya nchi na chama
 
Unaifananisha Zanzibar na Dodoma?

Mimi sija ifananisha Zanzibar na Dodoma

Nilicho maanisha ni kwamba ni sawa ndio kwa maamuzi yanayo ihusu Zanzibar kufanyika Dodoma

Kwa sababu Dodoma ipo Tanzania, ni sawa tu na maamuzi yanayo ihusu Dar kufanyikia kwenye mahoteli ya Arusha au Mbugani

Pia Dodoma ni makao makuu ya chama na nchi
 
nimekusoma
 
Tatizo ni black??
Unataka niseme YES halafu nikapimwe mkojo?!!! Mi sijui bhana lakini ushahidi unaonesha black popote alipo atakuwa yeye ndo maskini zaidi by average kuliko wenzake!!!! Nimetoa mfano wa US na Haiti! Nenda Brazil... taifa lingine lenye diversified population na ndani yake kukiwa na black !

By average, ni Afro-Brazilian ndio maskini zaidi ukilinganisha na races zingine!!!!
 
So tatizo ni ngozi nyeusi...?
 
Hakuna kisiwa maskini,Zanzibar imepitwa hata na kisiwa cha Cape varde ambacho ni jangwa tupu......
Mkuu nani anatawala pia inaleta msukumo mkubwa katika maendeleo ya nchi...

Zanzibar ilipokuwa inatawaliwa na sultani, visiwa vya Zanzibar vilikuwa kama Dubai kwa wakati huo..Kaja mwafrika katawala Zanzibar kila kitu kimerudi nyuma,waafrika tukubali hatuna "vision",uwezo wetu wa kufikiri mdogo,hatuoni mambo kiuhalisia hisia zimetutawala

Sasa nikiulize kwani nani mtawala wa Mauritius .....nafikiri watawala ni wahindi waliochanganyika na wafrika kama vile wazanzibari halisi ni wafrika waliochanganyika na warabu...,hiyo ndio sababu halisi ya kwanini Mauritius iko mbali kiiuchumi kuliko Zanzibar,watawala sio mwafrika

Hata Zanzibar kama mtawala atakuwa mzanzibari halisi basi nchi ingepiga hatua sana,mfano kama Seif Sharifu angekuwa ndio kiongozi wa Zanzibar basi Zanzibar ingekuwa mbali kiiuchumi..

Najua ukweli unauma lakini angalia nchi zote zinazotawaliwa na waafrika,ziko vibaya kiuchumi..ukweli ndio huo ijapokuwa unauma,pale wafrika tutakapobadilisha mfumo wetu wa kufikiri ndipo tutakapo endelea kiuchumi na kifikra....
 
kiwatengu,

Utake usitake, jibu ni hilo alilotoa kilam!! Inachukiza na kukera lakini ukweli wenyewe ndio huo! Sisi black sijui tuna matatizo gani!! Umaskini huwa unatufuata kila tulipo!!!

Thanks to Makaburu, na ile dhahabu iliyojaa SA kama sio Makaburu, na wenyewe hivi sasa wangekuwa wanachinjana chinjana kama ilivyo DRC!!!

Waangalie Haiti! Ingawaje wapo nje ya Africa, lakini linchi maskini Tanzania ina afadhali na wenyewe wamejaa wamatumbi!!!

Hata US, thanks to entertainment industry and sports especially basketball, football and baseball ndiko wanakotokea weusi but by average, na wenyewe ni maskini kuliko race zingine!!!

Kinyume chake, hata ukienda kijijini ndani ndani kabisa halafu ukakuta kuna Mhindi au Mwarabu mmoja anaishi huko; basi maisha yake yatakuwa na unafuu ukilinganisha na wenyeji hata kama Mwarabu au Mhindi huyo yupo hapo tangu ukoloni!!!
Vipi kuhusu botswana ? kama ni swala la blacks ? ?
 
So tatizo ni ngozi nyeusi...?
Genetic make up ya mtu mweusi ina 'software tamu' chache kwenye ubongo. Kama ambavyo ana melanin nyingi kuliko kuliko race zingine. Usitafute cases za waafrica kadhaa wenye exceptipnalities (akili mingi)unambie mbona fulani yuko smart!

Genetically weusi na weupe wako tofauti
 
Mtu mweusi anautamaduni mbaya sana. Utamaduni wa kulamba miguu na uoga. mtu mweusi hawezi pigania haki yake. ukiona anapigana ujue anataka yeye ndiyo awe mnyonyaji. Utamaduni wetu hauwezi kuturuhusu kuendelea. siku raia na wabunge wakiweza kusimama na kudai wanachodeserve nchi itasonga mbele.
 
kiwatengu,

Utake usitake, jibu ni hilo alilotoa kilam!! Inachukiza na kukera lakini ukweli wenyewe ndio huo! Sisi black sijui tuna matatizo gani!! Umaskini huwa unatufuata kila tulipo!!!

Thanks to Makaburu, na ile dhahabu iliyojaa SA kama sio Makaburu, na wenyewe hivi sasa wangekuwa wanachinjana chinjana kama ilivyo DRC!!!

Waangalie Haiti! Ingawaje wapo nje ya Africa, lakini linchi maskini Tanzania ina afadhali na wenyewe wamejaa wamatumbi!!!

Hata US, thanks to entertainment industry and sports especially basketball, football and baseball ndiko wanakotokea weusi but by average, na wenyewe ni maskini kuliko race zingine!!!

Kinyume chake, hata ukienda kijijini ndani ndani kabisa halafu ukakuta kuna Mhindi au Mwarabu mmoja anaishi huko; basi maisha yake yatakuwa na unafuu ukilinganisha na wenyeji hata kama Mwarabu au Mhindi huyo yupo hapo tangu ukoloni!!!
Nakubaliana na wewe asili mia,uwezo wa kufikiri wa mwafrika ni mdogo sana,tizama nchi zote zinazotawaliwa na waafrika ziko nyuma kimaendeleo,nchi nyengine tajiri sana,mfano Guinea,Congo,Nigeria,Gabon,Tanzania nchi ambazo zimejaaliwa na utajiri wa mali asili lakini ziko vibaya kiuchumi na kimaendeleo....

Wafrika hatuoni mambo kiuhalisia,hisia zetu ndizo zinanazotuongoza,kwahivyo maamuzi yetu hayaendi na hali halisi ya mambo...

Mfano tizama siasa za Tanzania hivi sasa ni majabu matupu,Tanzania inaona bora wananchi wafe njaa nchi irudi nyuma kimaendeleo lakini upinzani usitawale,,,sasa kwa mtu mwenye akili utaona vipi wafrika tulivyo

Mauritius ni nchi yenye mchanganyiko wa watu kama visiwa vingene vyote dunia lakini naona wenzetu wameikubali hiyo hali,raisi wao ni mwnamke halafu muhindi,Angelikuwa huyu raisi ni mwafrika basi naamini mambo yangelikuwa mengine kwa Mauritius

Huyu ndie raisi wao
gurib-fakim.jpg

Na huyu ndie waziri mkuu wao
Anerood_Jugnauth_January_2013.jpg
 
Tatizo ni rais wao kuwa baharia, marehemu karume hakuwa intellectual ktk elimu dunia na ndiyo maana mchonga meno akamchezea picha. Mtu wa karibu aliyekuwa anajuwa siri nzima marehemu aboud jumbe alikaa jela ya maisha nyumbani kwake kule kigamboni. Swala la muungano ni moto mkali. Anayerikaribia kwa nia tata lazima aangamizwe na maana maalimu seif hawezi kuachiwa atawale zenji. Siri nyingi zitafichuka. Poleni sana ndugu zangu wa zenji.

tdot
 
Vipi kuhusu botswana ? kama ni swala la blacks ? ?
Nilitarajia swali kama hili lazima litokee!!! Hata hivyo, both Mauritius na Botswana wana kitu kimoja in common... manageable population!!

But look, Mauritius wana resources gani za maana compared to Botswana?! Ingawaje Botswana wana resources nyingi zaidi compared to Mauritius lakini Mauritius wapo mbali zaidi compared to Botswana!!!

Look at the Gini Coefficient! Gini Coefficient ya Tanzania ni ndogo zaidi kulinganisha na Botswana... which means, ingawaje kitakwimu Botswana wapo juu sana kuliko TZ lakini inequality in income distribution kwa Botswana ni kubwa kuliko Tanzania!!!!

Hata kama Botswana wapo juu zaidi ya Kenya kwenye Human Development Index but both countries zipo kwenye group la medium HDI wakati in terms of per capita income, Botswana ni Mlima Kilimanjaro na Kenya ni Kichuguu!!! So, hii impact ya higher per capita income kwa Botswana iko wapi?! Hata ukiangalia Gini Coefficient, Kenya wapo far better than Botswana!!!

Sasa nchi yenye population isiyofika hata 3 Million ina sababu gani ya kujivunia decent per capita income wakati income distribution ni very poor na ipo among the poorest!!!! But all in all, hiyo Botswana unailinganisha na nchi zipi? Na black race countries au na races zingine?!
 
Back
Top Bottom