kiwatengu,
Utake usitake, jibu ni hilo alilotoa
kilam!! Inachukiza na kukera lakini ukweli wenyewe ndio huo! Sisi black sijui tuna matatizo gani!! Umaskini huwa unatufuata kila tulipo!!!
Thanks to Makaburu, na ile dhahabu iliyojaa SA kama sio Makaburu, na wenyewe hivi sasa wangekuwa wanachinjana chinjana kama ilivyo DRC!!!
Waangalie Haiti! Ingawaje wapo nje ya Africa, lakini linchi maskini Tanzania ina afadhali na wenyewe wamejaa wamatumbi!!!
Hata US, thanks to entertainment industry and sports especially basketball, football and baseball ndiko wanakotokea weusi but by average, na wenyewe ni maskini kuliko race zingine!!!
Kinyume chake, hata ukienda kijijini ndani ndani kabisa halafu ukakuta kuna Mhindi au Mwarabu mmoja anaishi huko; basi maisha yake yatakuwa na unafuu ukilinganisha na wenyeji hata kama Mwarabu au Mhindi huyo yupo hapo tangu ukoloni!!!