chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
Labda kweli lakini kwanini hapewi tukaona nini kitaendelea....Ata akichukua madaraka maalim haitotokea Zanzibar kuwa kama Mauritius
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kweli lakini kwanini hapewi tukaona nini kitaendelea....Ata akichukua madaraka maalim haitotokea Zanzibar kuwa kama Mauritius
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka niseme YES halafu nikapimwe mkojo?!!! Mi sijui bhana lakini ushahidi unaonesha black popote alipo atakuwa yeye ndo maskini zaidi by average kuliko wenzake!!!! Nimetoa mfano wa US na Haiti! Nenda Brazil... taifa lingine lenye diversified population na ndani yake kukiwa na black !
By average, ni Afro-Brazilian ndio maskini zaidi ukilinganisha na races zingine!!!!
Una uelewa mzuri na Mauritius. Nitashangaa mtu kudhani Zanzibar ingekuwa huru ingefikia maendeleo ya Mauritius. Nchi ile imebarikiwa zaidi kwa Kiwango kuliko visiwa vyote barani Afrika (ukitoa Madagascar) ikiwa na Hali nzuri ya hewa na udongo wenye rutuba kuliko Zanzibar, Comoro, Reunion, Seychelles, Cape Verde na São Tomé - japokuwa visiwa vyote barani Afrika bado vina Hali ya hewa nzuri na rutuba ya kutosha.Kwa nini usiifananishe Zanzibar na Komoro? Watu wengi wa Mauritius ni Wahindi na wala sio Waafrika. Angalau Zanzibar na Komoro ni jamii moja unaweza ukafananisha.
Madagascar ni poor county pia....Una uelewa mzuri na Mauritius. Nitashangaa mtu kudhani Zanzibar ingekuwa huru ingefikia maendeleo ya Mauritius. Nchi ile imebarikiwa zaidi kwa Kiwango kuliko visiwa vyote barani Afrika (ukitoa Madagascar) ikiwa na Hali nzuri ya hewa na udongo wenye rutuba kuliko Zanzibar, Comoro, Reunion, Seychelles, Cape Verde na São Tomé - japokuwa visiwa vyote barani Afrika bado vina Hali ya hewa nzuri na rutuba ya kutosha.
Kuna mazungumzo yanaendelea na hao hao wa Mauritius kuja kuwekeza katika miradi mikubwa ya usafiro na utalii Zanzibar nadhani ndani ya miaka 2 muelekeo na hatma ya hiki kisiwa kiuchumi utaonekanaWakuu, nimetafakari kidogo maendeleo walionayo hii nchi ndogo ya visiwa vya Bahari ya Hindi nakujiuliza nini kimeizuia Zanzibar kuendelea kama Mauritius.
Mauritius kwa sasa ndio nchi Bora kabisa Africa in many aspects....
What make Zanzibar stagnant?
Si kuna vikabila hapa bongo vinasemaga vimeenda shule kuliko kabila Fulani ni muda wao kutumia usomi wao ili na cc tuwe kama Slovenia!!!Karibia nchi zote za watu weusi zina vyote hivyo lakini ni masikini, tatizo kichwani zimo?
Ww unaijua shelisheli au unaiona tu katka videoMuungano ulitokea baada Tanganyika. Kuutamani uchumi karafuu zanzibar miaka ya sitini, wakaamua kutumia siasa kuleta ukoloni muungano...
Zanzibar ilitakiwa iwe sawa na ushelisheli na Mauritius
Uhusiano upo mkubwa sana,watu weusi tumegubikwa na umasikini popote pale uendapo,kuanzia America,South America hata Afrika ambapo ndio chimbuko na watu weusi,watu weusi wako maskini..It's a researchable topic!!! Je, kuna uhusiano wowote kati ya ngozi nyeusi na umaskini?!
Uhusiano upo mkubwa sana,watu weusi tumegubikwa na umasikini popote pale uendapo,kuanzia America,South America hata Afrika ambapo ndio chimbuko na watu weusi,watu weusi wako maskini..
Sasa tujiulize kwanini imekuwa hivyo? katika uchunguzi wangu nimegundua tatizo liko kwenye MALEZI watu weusi wanawalea watoto wao bila ya kuwapa uwezo wa kufikiri na kujiamini, "self esteem" ya mtoto wa mtu mweusi ni ndogo sana iko chini sana
Watalamu wa Psychology wanasema,unapompiga mwanao ujue na yeye atampiga mwanawe,mtoto akimuona baba anampiga mama ake ujuee na yeye atampiga mkewe..ni "chain" inayoendelea kizazi na kizazi..
Ukiangalia utaona maamuzi ya watu weusi yamejaa hisia sio uhalisia, maamuzi ya wanasiasa wa kiafrika yako hivyo hivyo hayana busara hayana uhalisia,kwa sababu wamelelewa hivyo,malezi waliopata ni ya kupigwa na kukejiliwa,na wao wanapopata uwezo wa kuwaongoza wenzao wanawaongoza kwa kuwapiga na kuwakejeli wanaowatawala, wanakuwa hawana njia mbadala hawajui nja nyengine ya kuongoza kwavile wao ndio walivyoongozwa
Mfano kama unafatilia siasa ya nchi yetu utayaona hayo,hivi juzi tu rais katangaza kuwa watoto wa kike waliopata mimba wakijifungua wasirudi shuleni,serikali haisomeshi wazazi...hayo ni maamuzi ya mtu mweusi, mtu mwenye rangi nyengine ya ngozi haiwezekani kutoa maamuzi kama hayo..,Raisi katoa maamuzi ya kunakamisha kizazi kizima cha wanawake na watoto wao,pamoja na taifa kwa ujumla, ni mtu mweusi tu ndio anaweza kutoa maamuzi kama hayo....
Watu wenye akili wamekataza zamani sana watoto wasipigwe shuleni wala majumbani,ni kosa la jinai kumpiga mtoto,kwetu Tanzania bado tunaoana wanafunzi wanapigwa mpaka wanakufa lakini serikali haisemi kitu,imenyamaza kimya,Serikali imenyamaza kimya kwasababu wao viongozi wa serikali walipigwa walipokuwa shuleni,kwa hiyo wao wanaona kitu cha kawaida tu mtoto kupigwa ,,,,,"chain" inaendelea..
Watalamu wa Psychology wanasema kumpiga mtoto ni kumfanya mtoto asiwe na uwezo wa kufikiri na kujiamini,ukishamnyima mtoto mambo hayo "selv esteem" yake inapungua,uwezo wa kuamua unapungua,Wafrika tunatakiwa tubadilishe vipi tunawalea watoto wetu,tubadilshe vipi tunafikiri.
Serekali inatakiwa ikataze kabisa adhabu ya kupigwa viboko wanafunzi,adhabu kali wawekewe walimu wanaofanya hivyo,tutapiga hatua,tutafika,tutaweza kuamua kama wanavyoamua wenzetu....
Haya baba umesikikaWw unaijua shelisheli au unaiona tu katka video
Maisha yao na majukumu yakisiwa hicho??acha kujikomba komba
Unajua zao ka karafuu lilipoanzia?
Mwlm Julius kmbrg nyerere akihutubia tabora akawasisitiza wanyamwezi waende visiwani kwa ajili ya kulima zao LA karafuu,kwasbb wazawa wa huko ni wavivu kazi yao kucheza bao na magenge ya kahawa
Hadi Leo wakulima wa huko mnawaita wanyamwezi
Mlikosa Umeme miezi tu mliiivamia dar na TV zenu za chogo mmebeba vichwani
Leo tumewapa Umeme nyaya chini ya bahari bado hamna shukurani
Tnx God sikuzaliwa visiwani
Sent from Calculator Phone vesion007
Asante kwa kunifahamu mkuu,bado wako wanaoamini kuwa mtoto wa kiafrika haleleki mpaka apigwe,binafsi nashukuru nimepata bahati sijawahi kupigwa na mzee wangu lakini mungu kanijalia nimefanikiwa sana kimaisha na nawapa heshima kubwa sana wazee wangu,,na mimi sijawahi kumpiga mtoto wangu na wao wamefanikiwa kimaisha "chain" inaendeleaAisee...!umenifungua macho sana tu...