Tanzania iwe ya wote lakini Zanzibar ya Wazanzibari!?
wa zanzibar ni wabinafsi, zanzibar hakuna rasilimali yeyote ya maana zaid ya karafuu, lakini wamekuwa na gubu ilhali wao ndio wamewekeza zaid huku barawritten by raha // 07/09/2012 // habari // 19 comments
uzanzibar basi sasa ni utanzania. Ule ukoloni wa tanganyika kutaka kuimeza zanzibar na kuwa nchi moja wazidi kupamba moto. Kwa taarifa tulizozipata ambazo si rasmi mpaka sasa kunatetesi kuwa wazir wa nchi ofisi ya rais mwinyi haji makame anataka kupeleka mswada barazani wa kukifuta kitambulisho cha uzanzibar ili kukipitisha kitambulisho cha mtanzania kufanya kazi zanzibar.
Hii ni ile mikakati serikali ya umoja wa kitaifa na sera ya chama cha ccm kutoka serikali 2 kuelekea 1.na nchi iwe ni moja nakuwa tanzania. Kampeni ya kukikaribisha kitambulisho hicho ishanza na dr shein kuwataka wazanzibar wajitokeze kwa wingi kuvichukua. Jamani hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma,kwa kweli nakumbuka maneno ya amir wangu sh msellem ..katika vyama vyetu tunaekewa makumbi na bado tunachagua hayo hayo.
Tunaposema ukweli watu wanaumia kuwa sasa siasa na vyama tuweke pembeni tuwe pamoja na maamir wetu tukomboe nchi yetu. Wazanzibar muko tayari kuvikata vitambulisho vinavotoka tanganyika ili tulinde heshma na hadhi ya nchi yetu.
imetolewa na jumiki.
wamejazana udom kwanini wasisome na kufanya kazi zanzibar universty kama hawatutaki kwanini wanang'ang'ania huku bara warudi kwao na waseme hatutawataki watanganyika ndio tutawaheshimu lakini lawama zote wanatoa na hali wamejazana huku
..huyu mtoa hoja ni mbinafsi.
..anataka wa-Tanganyika wazuiwe kufanya kazi Zanzibar.
..hivi yuko tayari wa-Tanganyika nao wawazuie wa-Zanzibar kufanya kazi na kujipatia rizki ktk ardhi ya Tanganyika??
B ila shaka kitambulisho cha Utanzania hakija kubalika zanzibar kwa kuwa Zanziabr pia wana vitambulisho vyao vya Uzanzibari. Kama ni nchi moja kwanini kuwe na vitzmbulishio karibu sabini?. Iko tatizo hapa hapa. Wazanzibari wana vitambulisho vyao na watanganyika wawe na vyao. Sisi wazanzibari tunajitambulisha kote ulimwenguni kama wazanzibari kwanza baadae n dio tanzania kwa shinikizo wala sio hiari.
Wazanzibari wanataka nchi yao huru. Tatizo ni ukoloni. Tunaweza kudumisha uhusiano wetu tukiwa mbalimbali kuliko hali ilivo sasa hivi.
Hiyo ipo kwenye DNA Mkuu usiwape wanasayansi kazi kwa ajili ya jumuiya ya watu Milioni 1.Falconer,
..lakini mbona ni nyinyi toka zama zile mnatuita vichogo? je hiyo siyo dharau?
..wewe unaweza kuchangia hoja zako hapa JF, wakati mimi Mtanganyika siruhusiwi kuchangia mzalendo.net au zanzinet. je, huo siyo ubaguzi??
..halafu mnataka kuleta vitambulisho ili kuwanyima ajira wa-Tanganyika wanapokuwa Zanzibar. wakati huohuo Tanganyika imepokea wa-Zanzibari wanaokadiriwa kufikia 350,000. je, huo siyo ubinafsi??
..wa-Zanzibari mkiacha dharau, ubaguzi, na ubinafsi, basi bila shaka mtaweza kuishi vema ndani ya muungano huu.