MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,400
- 1,706
Mbalali osd amepiga watu mabomu! na amekili kuwa kawapiga!! mnataka kutupeleka wapi?? kikinuka mnafikiri nyinyi mtakuwa salama?? acheni ujinga wenu!! kubalini kuwa jiwe hakubaliki!!Mungu ibariki Tanzania!
HII NI SINGE AU NINI MATUMIZI YA SINGE NI HATARI SANAKILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR
Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.
Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha Kwale Kijiji ambacho kina CCM wengi.
Kilichotokea CCM wakawachokoza ACT wakaanza ugomvi wakaja Polisi. Usiku huu mabomu yanaendelea na Askari wanazidi kumiminika. Watu wanapigwa sana
Mpaka sasa kuna wengine wako hospitali Micheweni wengi wameumizwa.
View attachment 1602557
ILANI: Video niliyoipata haifai kukaa hapa kwani inatisha
Nimesema hii nchi Haifa napia adui ni CCM ukweli siku hiki chama kikiondoka hapa ndiyo Tanzania itasonga mbele na kuwa huru, mifano iko mingi mfano kenyaKILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR
Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.
Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha Kwale Kijiji ambacho kina CCM wengi.
Kilichotokea CCM wakawachokoza ACT wakaanza ugomvi wakaja Polisi. Usiku huu mabomu yanaendelea na Askari wanazidi kumiminika. Watu wanapigwa sana
Mpaka sasa kuna wengine wako hospitali Micheweni wengi wameumizwa.
View attachment 1602557
ILANI: Video niliyoipata haifai kukaa hapa kwani inatisha
Kumbuka ACT wametoka katika mkutano hivyo baadhi yao watakuwa wamevaa nguo za rangi ya ACT (Zambarau) na pia kushika bendera za ACT.How do u identify huyu ccm au huyu act
👊👊Hakuna marefu yasiyokuwa na nchi. Kila mwanadamu ana hulka ya kupenda kuwa huru. Watu wamefikia kikomo. Wataudai uhuru wao kwa jasho na damu.
Issue siyo siasa. Tatizo uonevu na dhuluma. Bila haki hakuna amani.jamani ndugu zetu wa zanzibari punguzeni presha hizi ni siasa tu ugomvi wa nini jamni, sasa kama siasa ni kukatana mapanga basi bora tusiwe na uchaguzi. sisi watanzania hatupendi kuona mtanzania mwenzetu hata mmoja anamwaga damu kwa ajili ya siasa....hakuna sababu....haswa vijana acheni mizuka ya bangi mtakufa buree
haki itatendeka lkn usivunje utaratibu ktk kudai haki, dai haki kwa njia inayo faa sio vurugu,Issue siyo siasa. Tatizo uonevu na dhuluma. Bila haki hakuna amani.
Sipendi kuchangia mihemko ya namna hii, lakini watanganyika mmejikita sana na visiwa vya Zanzibar sana sana. Majeshi yote si yamekwenda visiwani, sasa Allah anawaletea mitihani mpate kuona.Hiyo yote kutaka kumbeba Hussein Mwinyi hapati hata kura mbili .Halafu polisi , jeshi wako bize kupiga watu Zanzibar .View attachment 1602897View attachment 1602898View attachment 1602899View attachment 1602901View attachment 1602902
Hebu fafanua please!Vikosi vyetu vya ulinzi viko busy na uchaguzi huku wakiacha ndugu zangu wa nanyamba kitaya wakiuawa na magaidi.
CCM wameona Bora uchaguzi kuliko maisha ya raia wao wa kusini
Sasa kama picha haielezi tukio aliiweka ya nini?!Acha ujinga na wewe.ulitaka akuletee mkanda mzima wakila tukio kwani ni filamu hiyo.Hiyo picha kaonyesha tu sehemu kidogo kama kielelezo wala sio ndo tukio zima.Unachotakiwa kufanya nikufwatilia kwenye vyanzo vingine ili ujiridhishe kwamba je ni kweli vurugu zimetokea au hazijatokea nasio kukomalia picha kana kwamba ndo habari yenyewe.Au wewe ulitaka uwekewe picha ya watu wanakatwa shingo ndo ufurahi kua kweli kuna vurugu zimetokea.Unakwama wapi kuelewa mambo madogo kama hayo.
Sungu sungu wanalinda mpakani wa Nchi?Sungu sungu hakuna huko?
Wajaribu waone.Busara ikikosekana nguvu hutumika
Hawa wanaopotea mitaani kwa kuhoji phd unawaweka fungu gani, na wanaowapoteza unawaweka fungu lipi?jamani ndugu zetu wa zanzibari punguzeni presha hizi ni siasa tu ugomvi wa nini jamni, sasa kama siasa ni kukatana mapanga basi bora tusiwe na uchaguzi. sisi watanzania hatupendi kuona mtanzania mwenzetu hata mmoja anamwaga damu kwa ajili ya siasa....hakuna sababu....haswa vijana acheni mizuka ya bangi mtakufa buree
KudosMsiombe Magaid wabeba silaha kuingia Tanzania,kwanza ulisikia wapi hao magaidi wamepigana vita wakashinda ? wapi ?
Isipokuwa itakuwa umewahi kusikia wapi wamesababisha hasara,namna ya upiganaji wao,wanajeshi wabobezi wataelewa nazungumza kitu gani,hapa sio hawa wanaobebeshwa silaha wakajazwa kwenye difender kama manamba kwenda kupiga wananchi wasio na hatia.
Nazingumzia wanajeshi wenye uelewa na mambo ya kivita. magaidiawe alshababu au wale sandinista ,kwana wana mafunzo ya kijeshi ikiwemo kujilipuwa,pili wana stadi eneo hata kwa miaka mingi pengine mitatu mitano au zaidi na kwa muda huo wameshawachunguza na kujua mwenendo wenu wote nje ndani.
Sasa wanapoamua kuingia kimapambano ujue watapiga vibaya sana na kusababisha hasara na vifo hawa wanaotutesa na vidifender vyao hawa kwenye michezo ya kijapani huitwa kumi shilingi,wala sio tishio kabisa kabisa,mtu mmoja tu anawamaliza wote walio kwenye difender,wacha watutese sisi kwa sababu hatujui kukamata hata panga.
Baada ya ile miaka ya kuisoma tabia nchi ya movement za kijeshi,yaani hawa jamaa wanajua mpaka mida wananjeshi wa nchi wanapofanya mazoezi,wanapolala wanapolewa ni ujasusi rahisi sana kuufanya kwenye nchi iliyotulia kama yetu.
Bana hawa hutumia aina ya kupigana kivita kwa kuvamia sio kama alivyovyotuvamia Idi Amini,hawa kwa luga ya kigeni naitwaa ambush ni hatari na ndio maana hujawasikia kupigana wakashinda,tunaona wanavyofanya hujuma Kenya na Somalia Nigeria na kwengineko,wakiingia watatuumiza sana wala tusijidangaje kuwa tutawashinda,halafu jamaa ndio hawachoki,isipokuwa hurudi wakajipanga.
CCM msitupeleke na kusababisha hawa watu kupata sababu ya kuingia Tanzania ,alafu awachagui wakati wakivamia na kuambush target yao atakaewakalia mbele halali yao.
Fuatilieni visa vyao vinasomeka kwenye mitandano ,ufilipino wapo ,Srilanka wapo achana na hizi nchi za kwetu, Mpaka India wapo.
CCM bwageni manyanga wala msidanganye kuwa tumevamiwa tuna ndugu na jamaa Mtwara hawajasikia hilo,mnataka kutuhamisha tuachane na mambo ya kuwaondoa.
Mwaka huu haondoshwi mtu kwenye lelii mnaondoka mnaangushwa mkitaka msitake,miyaka 56 imetosha ,yaani mmekaa mpaka sasa mnarithishana kwamba wananchi wengine hawafai.
Keyboard warrior kokoMsiombe Magaid wabeba silaha kuingia Tanzania,kwanza ulisikia wapi hao magaidi wamepigana vita wakashinda ? wapi ?

Sasa kwa ufahamu wako hizo sehemu ulizosema kulikuwa na magaid tunaowazungumza hapa,kwanza ninaowazungumza hapa wanakuwa na target maalum,sio hao wa kibiti,mimi hata sielewi ugaidi wao ni kitu gani,kitu nyuma ya pazia,sina uelewa nao watu ambao hawakukutwa na hata explosive belt unawaita magaidi ,mashee wa uamsho ndio mnawaita Magaidi ?Keyboard warrior koko
Ngonjera nyingiiiiii kawaulize wale magaidi wa mkuranga,kibiti na Rufiji kikichowakuta mliwapamba sanaaaaa baadaye kilichowakuta mkaanza kulia lia humu
Subiri mziki wake JWTZ waingie kazini