mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 805
- 810
Mbona Kama nachezewa picha hapa ili kuogopesha wananchi Kama sisi tupo.KILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR
Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.
Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha Kwale Kijiji ambacho kina CCM wengi.
Kilichotokea CCM wakawachokoza ACT wakaanza ugomvi wakaja Polisi. Usiku huu mabomu yanaendelea na Askari wanazidi kumiminika. Watu wanapigwa sana
Mpaka sasa kuna wengine wako hospitali Micheweni wengi wameumizwa.
View attachment 1602557
ILANI: Video niliyoipata haifai kukaa hapa kwani inatisha
Zanzibar kuna jambo lawezatokea, mwaka huu.
Vikosi vyetu vya ulinzi viko busy na uchaguzi huku wakiacha ndugu zangu wa nanyamba kitaya wakiuawa na magaidi...
CCM wameona Bora uchaguzi kuliko maisha ya raia wao wa kusini
Hii ndio hasa wanachotaka wapinzani, shame on you. Tunu ya Amani lazima ilindwe kwa gharama yoyote.KILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR
Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.
Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha Kwale Kijiji ambacho kina CCM wengi.
Kilichotokea CCM wakawachokoza ACT wakaanza ugomvi wakaja Polisi. Usiku huu mabomu yanaendelea na Askari wanazidi kumiminika. Watu wanapigwa sana
Mpaka sasa kuna wengine wako hospitali Micheweni wengi wameumizwa.
View attachment 1602557
ILANI: Video niliyoipata haifai kukaa hapa kwani inatisha
Adui nambari moja wa amani ya tz ni vikosi vya kigaidi vinavyo jiita vyombo vya usalama
Naiomba PM tafadhaliKILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR
Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.
Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha Kwale Kijiji ambacho kina CCM wengi.
Kilichotokea CCM wakawachokoza ACT wakaanza ugomvi wakaja Polisi. Usiku huu mabomu yanaendelea na Askari wanazidi kumiminika. Watu wanapigwa sana
Mpaka sasa kuna wengine wako hospitali Micheweni wengi wameumizwa.
View attachment 1602557
ILANI: Video niliyoipata haifai kukaa hapa kwani inatisha
Hapo watawakamata ACT tu, polisi atakaejiroga kuwakamata CCM ataogelea hadi tanga
Na si la kheriZanzibar kuna jambo lawezatokea, mwaka huu.
Zanzibar wanajuana kule,How do u identify huyu ccm au huyu act
Naziona dalili kuwa haponi huyu! Nimeyasikia na ya huko Mbarali ambako jina lake linatajwa kabisa.Huyu IGP ashughulikwe kimataifa.
Imetosha.
Usalama wa Zanzibar ni kumtangaza maalimu kuwa mshindiKILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR
Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.
Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha Kwale Kijiji ambacho kina CCM wengi.
Kilichotokea CCM wakawachokoza ACT wakaanza ugomvi wakaja Polisi. Usiku huu mabomu yanaendelea na Askari wanazidi kumiminika. Watu wanapigwa sana
Mpaka sasa kuna wengine wako hospitali Micheweni wengi wameumizwa.
View attachment 1602557
ILANI: Video niliyoipata haifai kukaa hapa kwani inatisha
Umeelewa alicholeta mleta mada?Vikosi vyetu vya ulinzi viko busy na uchaguzi huku wakiacha ndugu zangu wa nanyamba kitaya wakiuawa na magaidi.
CCM wameona Bora uchaguzi kuliko maisha ya raia wao wa kusini
Acha ujinga na wewe.ulitaka akuletee mkanda mzima wakila tukio kwani ni filamu hiyo.Hiyo picha kaonyesha tu sehemu kidogo kama kielelezo wala sio ndo tukio zima.Unachotakiwa kufanya nikufwatilia kwenye vyanzo vingine ili ujiridhishe kwamba je ni kweli vurugu zimetokea au hazijatokea nasio kukomalia picha kana kwamba ndo habari yenyewe.Au wewe ulitaka uwekewe picha ya watu wanakatwa shingo ndo ufurahi kua kweli kuna vurugu zimetokea.Unakwama wapi kuelewa mambo madogo kama hayo.Hahaha watanzania kwa kuzusha, sasa hapa vurugu ziko wapi?! Majeraha kama hayo hata Dispensary ya ikulu yapo.
Mtu anachukua picha hospitali analeta humu, anatia watu taharuki.
Hata ukienda Tandale Hospitali watu wanaokuja na majeraha madogo madogo kama hayo wapo, sasa jeraha linahashiria kwamba kuna vurugu?!
Kesho nami nitapiga picha hapa emergency room Muhimbili na nitaleta humu na kusema Dar es salaam hali siyo shwari kabisa.
Hapo nini kinasema kwamba kuna vurugu Zanzibar?!
Duh! Hata kama hao sungusungu wapo wangeweza kupambana na watu wenye SMG, AK-47, LMG na wao sungusungu wana fimbo tu? Au unataka wawe sadaka?Sungu sungu hakuna huko?
Umeona jinsi ccm mulivyo wajinga??Mungu ibariki Tanzania!
Kwa Pemba wanajuana, ACT ni wale waliokuwa cuf.How do u identify huyu ccm au huyu act