Zanziquest Limited
Member
- Jun 20, 2019
- 11
- 5
Jumuika nasi tarehe 12 August 2019 kwa ajili ya safari ya kwenda kuwaona dolphin wakiwa baharini na kuogelea nao 😃
Makutano ni Forodhani Park, Zanzibar saa 1 kamili Asubuhi!
Bei ni 25,000 tu kwa mtu,kwa raia wote wa Afrika Mashariki.
Bei inajumuisha Usafiri wa kwenda na kurudi Mjini Stonetown, malipo ya hifadhi pamoja na boti.
Mwisho wa Kupokea booking na malipo ni tarehe 11 August.
Unaweza kutembelea ukurasa wetu wa Instagram @zanziquest kwa ajili ya picha za trips mbali mbali.
Safari inaanza asubuhi mapema saa moja nanusu kuondoka Mjini na kurudi tunategemea iwe saa 6 - 7 mchana.
Kwa maelezo zaid wasiliana nasi kwa njia ya whatsapp +255 672 728 871 au tutumie email reservation@zanziquest.com.
TUTEMBEE!!