jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,074
- 28,272
nimejaribu kuangalia mwenendo wa mabadiliko ya kisiasa nchini na kujionea kuwa sehemu muhimu ambazo ccm hawatakiwi kufanya kosa ni zanzibar,dodoma na morogoro.
Hata chadema wanalijua hili ndio maana maandamano na uhamasishaji hayajafanyika katika sehemu hizi.kote huku ccm ina nguvu ya kutosha ambayo haijaathiriwa na chadema na pia haijaathiriwa na uchaguzi wa 2010.
Naamini M4C itapata changamoto kubwa katika maeneo tajwa na hii innafanya maeneo haya kuwa na majimbo muhimu uatakayoamua musyakabali wa nchi mwaka 2015.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA