Zanzibar: CUF hawaepukiki

Zanzibar: CUF hawaepukiki

Pamoja na CCM kutangazwa washindi katika ngazi ya Urais,Uwakilishi na Udiwani,CUF hawaepukiki katika ustawi wa Zanzibar. Katika uchaguzi wa jana,CUF iligomea uchaguzi huo ingawa wagombea wao hawakuondolewa kwenye karatasi za kupigia kura.

Hali halisi hapa Zanzibar inaonesha kuwa CUF wanahitajika,kuliko wakati wowote ule,katika kutanzua mkwamo mpya wa kikatiba pamoja na kufanyika uchaguzi unaosifiwa kipropaganda. Hapa Zanzibar,kwa hali ilivyo kulingana na matokeo,hakutapatikana Makamu wa kwanza wa Rais.

Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar,makamu wa kwanza wa Rais anapaswa kuwa mgombea aliyeshika nafasi ya pili ambaye lazima awe amepata asilimia kumi ya kura zote halali. Kwa asilimia tisini na moja za Dr. Shein,hakuna mgombea aliyepata asilimia kumi. Ndiyo kusema,hata Hamad Rashid,ingawa ndiye aliyetangazwa wa pili,hawezi kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. ADC ya Hamad Rashid haina hata Mwakilishi mmoja pia.

Katika kuliona hilo,leo hii hii,Rais mteule Dr. Shein na hata Hamad Rashid wamekiri uwepo wa mgogoro wa kisiasa. Kwakuwa CUF hawakushiriki katika uchaguzi wa jana waliouita batili,watashiriki kutafuta suluhisho? Hapa,wananchi karibu wote wako puzzled!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Zanzibar)
Pamoja na kukupa like hapo umepotosha kidogo, daktari ametangazwa, atapishwa na kukabodhiwa dola. Then mjadala wa jinsi ya kumpata makamu utaendelea mpaka 2020 na daktari huyoo anajipumzisha zake.
 
Nahisi wewe ni mwanasesere, Huo muziki baraza la wawakilishi titauona toka kwa watu gani, wanaoingia kwa tiketi ya chama gani? Kama usiepunguani hujui uchaguzi huu ulihusu Wawakilishi pia tutakuitaje. Wambie vyeti vyao wakachambie wa halali wameshapatikana subiri matokeo ya wawakilishi
Hao wawakilishi watapishwa na kutengua katiba kuwa serikali iwe na rais tu, hakuna cha makamu wala bibi yake makamu.
Nakala kwa Lizaboni, bibi kidude wa Lumumba, faizafoxy et al.
 
Mzee Tupatupa nafikiri hizo asilimia wameziweka makusudi kwa sababu zao,wasingeshindwa kuweka 89%
Kura zote hizo ni hesabu iliyochongwa! Maana yake ni kwamba ni halali kutokuwa na Makamu Wawili wa rais kuliko kuwa na Makamu wa rais kinyume na katiba! Hivyo shein ataendesha nchi akiwa na Makamu wa pili wa rais bila Makamu wa kwanza, na mambo yatakwenda!
 
....
Hali halisi hapa Zanzibar inaonesha kuwa CUF wanahitajika,kuliko wakati wowote ule,katika kutanzua mkwamo mpya wa kikatiba pamoja na kufanyika uchaguzi unaosifiwa kipropaganda. Hapa Zanzibar,kwa hali ilivyo kulingana na matokeo,hakutapatikana Makamu wa kwanza wa Rais.
..... Ndiyo kusema,hata Hamad Rashid,ingawa ndiye aliyetangazwa wa pili,hawezi kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. ADC ya Hamad Rashid haina hata Mwakilishi mmoja pia.
... Hapa,wananchi karibu wote wako puzzled!
..
CCM na Jecha walikuwa wamefikiria "ushindi kwa kishindo" tu na kusahau kumpatia Hamad Rashid 10%?
Jecha apitie mahesabu yake ili arudi na 10.5% ya Hamad Rashid.
CCM wamekosa ushindi wa goli la mkono, Jecha amewapa ushindi wa kishindo. CCM na Jecha walijisahau?

Katika kumbukumbu zangu, iliwahi kutokea zamani ZEC kurekebisha idadi ya kura za ushindi. warudie mbinu hiyo.
Maigizo ya Jecha na CCM yanazidi ze comedy.
 
Kama mmeamua kususa manake hakuna mseto partner katiabmpira kwapani, ndio itatoka wapi tena uwezi oa mjomba wala shangazi sababu mwali kala kona maisha yanaendelea. Utaenda kuoa kwengine fursa itakapo patikana.
Hivi kiuhalisia ni nani hasa waweza sema aliweka mpira kwapani na kukimbia?

Game ilichezwa tarehe 25/10/2015, CCM wakaona dhahiri wamepoteza mchezo.

Ili kujinusuru wakaona wamtumie 'refa' Jecha avunje mchezo ili wao waweke mpira kwapani na kukimbia nao.

Kama kuna chama hapa nchini ambacho hakiijui kabisa principle kuu ya mfumo wa vyama vingi, ambayo ni lazima apatikane MSHINDI na MSHINDWA, basi chama hicho si kingine bali ni CCM ambacho kinaamini kuwa chenyewe ndiyo kimepewa hati miliki na Mungu ya kuitawala nchi hii hadi mwisho wa dunia.

Kama msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi angekuwa anatimiza wajibu wake fairly bila kuwagwaya 'mabosi' wake wa CCM, basi tayari chama hicho cha CCM kingekuwa kishafutwa katika orodha ya vyama vya siasa nchini.
 
Jecha alikosea kuhesabu, ni asilimia 87 jamani.
Jecha huyu Jecha, alikosea kujumlisha tu
 
bado huijui siasa na bado hutambui kwanini Magufuli alitamka yale huku Zanzibar kukiwa tayari kumetangazwa Mshindi.....

Aliyatamka yale kwa ajili ya CUF,kuwaambia wameshindwa wakubali matokeo..............Sasa kwa sababu CUF wameambiwa hivyo ndiyo by the way akawaambia CCM wa Bara lakini ndani hakuna kitu kama hicho refer,hotuba yake ya Kinyerezi.
 
Pamoja na CCM kutangazwa washindi katika ngazi ya Urais,Uwakilishi na Udiwani,CUF hawaepukiki katika ustawi wa Zanzibar. Katika uchaguzi wa jana,CUF iligomea uchaguzi huo ingawa wagombea wao hawakuondolewa kwenye karatasi za kupigia kura.

Hali halisi hapa Zanzibar inaonesha kuwa CUF wanahitajika,kuliko wakati wowote ule,katika kutanzua mkwamo mpya wa kikatiba pamoja na kufanyika uchaguzi unaosifiwa kipropaganda. Hapa Zanzibar,kwa hali ilivyo kulingana na matokeo,hakutapatikana Makamu wa kwanza wa Rais.

Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar,makamu wa kwanza wa Rais anapaswa kuwa mgombea aliyeshika nafasi ya pili ambaye lazima awe amepata asilimia kumi ya kura zote halali. Kwa asilimia tisini na moja za Dr. Shein,hakuna mgombea aliyepata asilimia kumi. Ndiyo kusema,hata Hamad Rashid,ingawa ndiye aliyetangazwa wa pili,hawezi kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. ADC ya Hamad Rashid haina hata Mwakilishi mmoja pia.

Katika kuliona hilo,leo hii hii,Rais mteule Dr. Shein na hata Hamad Rashid wamekiri uwepo wa mgogoro wa kisiasa. Kwakuwa CUF hawakushiriki katika uchaguzi wa jana waliouita batili,watashiriki kutafuta suluhisho? Hapa,wananchi karibu wote wako puzzled!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Zanzibar)
Vutwa uvutwe....jifunze kuandika makala zenye mafunzo na kuwa "consistent"...title nzuri ila hoja zinajichanganya....wacha propaganda kijana!
 
Pamoja na CCM kutangazwa washindi katika ngazi ya Urais,Uwakilishi na Udiwani,CUF hawaepukiki katika ustawi wa Zanzibar. Katika uchaguzi wa jana,CUF iligomea uchaguzi huo ingawa wagombea wao hawakuondolewa kwenye karatasi za kupigia kura.

Hali halisi hapa Zanzibar inaonesha kuwa CUF wanahitajika,kuliko wakati wowote ule,katika kutanzua mkwamo mpya wa kikatiba pamoja na kufanyika uchaguzi unaosifiwa kipropaganda. Hapa Zanzibar,kwa hali ilivyo kulingana na matokeo,hakutapatikana Makamu wa kwanza wa Rais.

Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar,makamu wa kwanza wa Rais anapaswa kuwa mgombea aliyeshika nafasi ya pili ambaye lazima awe amepata asilimia kumi ya kura zote halali. Kwa asilimia tisini na moja za Dr. Shein,hakuna mgombea aliyepata asilimia kumi. Ndiyo kusema,hata Hamad Rashid,ingawa ndiye aliyetangazwa wa pili,hawezi kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. ADC ya Hamad Rashid haina hata Mwakilishi mmoja pia.

Katika kuliona hilo,leo hii hii,Rais mteule Dr. Shein na hata Hamad Rashid wamekiri uwepo wa mgogoro wa kisiasa. Kwakuwa CUF hawakushiriki katika uchaguzi wa jana waliouita batili,watashiriki kutafuta suluhisho? Hapa,wananchi karibu wote wako puzzled!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Zanzibar)

Western diplomats 'regret' Zanzibar election
Posted at18:3321 Mar

Western diplomats - including from the US, EU, the UK, France and Germany - have said that they regretted that Zanzibar's electoral commission's decision to re-run's last year's poll on Sunday.

The October election - which the opposition on the island say it won - was annulled by the commission because of what it said were irregularities.

The opposition boycotted yesterday's poll which was won by the incumbent President Mohamed Ali Shein with more than 90% of the votes.

The diplomats said the vote should not go ahead without a "mutually acceptable and negotiated solution to the current political impasse".

"In order to be credible, electoral processes must be inclusive and truly representative of the will of the people," the diplomats added.
 
Back
Top Bottom