Magufuli: Zanzibar bila ya CCM hakuna muungano

Hata mimi nimeshangaa. Anajaribu kutwambia kuwa ni lazima Rais atoke CCM hata kama hakuchaguliwa ili muungano uendelee! Wapinzani wasipopata tume huru, CCM itatukalia shingo mpaka mwisho wa dunia. Hiki ndicho wapinzani wasichojua. Watafute Tume huru kwanza.
Amenukuliwa leo Dodoma
Hivi maneno haya yanaashiria nini ?

Hivi Muungano si suala la kikatiba?

Inamanisha kuwa Ccm inaufanya muungano kama ndege wa kufuga?
 
Labda tu tuseme rais amekuwa mwepesi wa kuliongea hili. Lakini naafikiana naye 100%
Hii inatokana na jinsi nilivyosiobserve siasa za upinzani na tabia za baadhi ya watu wa zenji wanaoamini kuwa Muungano umeifilisi zenji na kuitajirisha bara. Katika hili namwona maalim kama ni mmoja wao. Naamini rais ameliona hilo ndiyomaana amelisema.h
 
Labda hujamelewa vizuri. Hivi muungano utatoka wapi kama wahafidhina ambao wapo radhi kuua na kuzua taharuki kwa watu ili tu wachukue nchi.
Alimaanisha lazima kiongozi anaoteuliwa na ccm awe ni hodari na anekubalika ktk jamii ili ccm ijihakikishie ushindi. Bili ccm madhubuti hakuna muungano.
 
Labda tu tuseme rais amekuwa mwepesi wa kuliongea hili. Lakini naafikiana naye 100%
Hii inatokana na jinsi nilivyosiobserve siasa za upinzani na tabia za baadhi ya watu wa zenji wanaoamini kuwa Muungano umeifilisi zenji na kuitajirisha bara. Katika hili namwona maalim kama ni mmoja wao. Naamini rais ameliona hilo ndiyomaana amelisema.h
Kwani lazima huu muungano uwepo? Najaribu kuwaza nitakosa nini kama usipokuwepo muungano
 
Hata mimi nimeshangaa. Anajaribu kutwambia kuwa ni lazima Rais atoke CCM hata kama hakuchaguliwa ili muungano uendelee! Wapinzani wasipopata tume huru, CCM itatukalia shingo mpaka mwisho wa dunia. Hiki ndicho wapinzani wasichojua. Watafute Tume huru kwanza.
Kwa nini huwa mnauogopa ukweli?

Na ndiyo maana hata kwenye kuzungumzia kero za muungano Mbowe hawezi kuwemo kwenye kamati hizo
 
Back
Top Bottom