Zanzibar: Ahukumiwa kwenda kutumikia kwenye Chuo cha Mafunzo (Gerezani) kwa kubaka msichana wa miaka 17

Kuna chuo cha kuweza kuibadilisha tabia ya mtu kweli?
Awekwe tu jela ijulikane.
Abeid Karume kwa huku Zanzibar alisema Jela zisiitwe Jela (prisons) bali ziitwe Vyuo vya Mafunzo (Offenders Education Centres), na wafungwa waitwe wanafunzi...kwa hiyo hata sheria inatumbua kuwepo vya vyuo vya mafunzo na sio magereza/jela. Sababu yake kubwa alisema kuwa jela ni sehemu ya wahalifu kwenda kujifunza tabia njema kwa hiyo yapaswa kuitwe chuo cha mafunzo. kwa hiyo zenji tuna vyuo vya mafunzo na sio jela
 
Kwa hiyo anaenda chuo cha mafunzo kujifunza nini? Namna ya kubaka vzur?
Jela zote lengo lake ni kurekebisha tabia ,

.ndy maana ukifika ule unafundishwa kazi mbali mbali za mikono,,

Ili ukitoka ubadilike..

Hata south african prison Inaitwa correctional service..

Jela sio mateso bali kunyimwa Uhuru,, kujifunza ,,pamoja na kurekebisha ulipokosea.

Ukitoka unakuwa mtu mpya.,,
 
Jela zote lengo lake ni kurekebisha tabia ,

.ndy maana ukifika ule unafundishwa kazi mbali mbali za mikono,,

Ili ukitoka ubadilike..

Hata south african prison Inaitwa correctional service..

Jela sio mateso bali kunyimwa Uhuru,, kujifunza ,,pamoja na kurekebisha ulipokosea.

Ukitoka unakuwa mtu mpya.,,sio jela z@ bongo kaka
 
Abeid Karume kwa huku Zanzibar alisema Jela zisiitwe Jela (prisons) bali ziitwe Vyuo vya Mafunzo (Offenders Education Centres), na wafungwa waitwe wanafunzi...kwa hiyo hata sheria inatumbua kuwepo vya vyuo vya mafunzo na sio magereza/jela. Sababu yake kubwa alisema kuwa jela ni sehemu ya wahalifu kwenda kujifunza tabia njema kwa hiyo yapaswa kuitwe chuo cha mafunzo. kwa hiyo zenji tuna vyuo vya mafunzo na sio jela
Ok asante kwa maelezo mazuri nimepata darasa ndugu.
 
Miaka 17 ! nina uhakika kama kungekuwa na usimamizi Tandika na yombo wangefungwa wengi
 
Mkuu kwani jela za bongo hakuna mafunzo ya kazi za mikono?

Mfano.

-- ufundi magari

--Ufundi Ujenzi.

--Ufundi carpenter nk.

Yote hayo lengo ni kujuwa kazi za mikono.

Na kama hayo yote hayapo huko jela,, basi sio lengo la kurekebisha tabia.

Lakini duniani kote inchi zilizoendelea lengo ni kurekebisha.
 
Kama huyo binti hakuwa bikra kipindi anabakea, basi aseme nani alimtoa bikra, ili nae akafunguliwe kesi ya ubakaji
 
Mkuu kwani jela za bongo hakuna mafunzo ya kazi za mikono?

Mfano.

-- ufundi magari

--Ufundi Ujenzi.

--Ufundi carpenter nk.

Yote hayo lengo ni kujuwa kazi za mikono.

Na kama hayo yote hayapo huko jela,, basi sio lengo la kurekebisha tabia.

Lakini duniani kote inchi zilizoendelea lengo ni kurekebisha.
Huyo kaandika chuo cha mafunzo ili ionekane adhabu aliyopewa ni ndogo
 
Back
Top Bottom