Zantel wapunguza gharama za internet

waongo hao hawajui kitu, mimi natumia hiyo 0775 na imekubali.
BinMgen

Mkuu naomba uniambie umechagua vipi hiki kifurushi as nikipiga *149*07# kwenye connection ya modem inasema cant call this number....

Nikipiga kwenye simu inanipa option ya intaneti 3g modem; nikichagua hio, inaniambia hii offer ni ya 3g modem pekee, before ilikuwa inakubali mpaka nikichagua option ya internet bila kikomo alafu nikichagua inasema ombi lako limetumwa baada ya muda inasema nijaribu tena au nipige customer services 100
 
Last edited by a moderator:
Airtel wameongeza 2 packages ila package ye2 akina cc ya 400mb @ tsh2500/= bado ipo we andika internet 2ma kwenda 15444 na utaunganishwa 1 kwa 1, hakikisha salio lako c chini ya tsh3000. Enjoy urself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…