ZANTEL: Tunaomba Maelezo katika Hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZANTEL: Tunaomba Maelezo katika Hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mdau, Jun 18, 2010.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,718
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Mimi ni mteja mzuri sana wa ZANTEL,hasa katika huduma za internet.....nina malalamiko mawili na hawa jamaa....kwanza: Ukiweka PLAN DAY ya siku moja (TShs 6000), kabla haujatumia MB 200 zikafika, inakata....pili, hivi RUVUMA mwakilishi wa hii KAMPUNI NI NANI? Sehemu iliyokuwapo ofisi yao karibu na CCM mkoa,kuna kontena limefungwa,tetesi ni kwamba muhusika alikula hela akatoroka,kuna mlinzi tu,eti ndio anasajili simu pia,ukifika unapewa karatasi ukatoe copy wewe mwenyewe,then ndo uandikishwe,ukiondoka hupewi hata udhibitisho kwamba umeandikishwa!!! CUSTOMER CARE IKO WAPI HAPA JAMANIIII!!! Tafadhalini tunaomba watueleze haya mambo yanaenda vp,huduma zao za DATA tunazikubali,lakini haya mengine ni utata!!!!!
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,305
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Zantel Msg hiyo
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Ipelekwe kwenye ma biashara kule Mr Mod
   
Loading...