VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Nice one hawa jamaa inabidi wajue kwamba mteja ni mfalme..., wasipoangalia watabaki wenyewe.mkuu VOR ... kuna mtu nimempigia atawasilisha kwa supervisor wao aje hapa jamvini .... lakini nasikia CEO aliuliza staff kwamba kuna tatizo gani la highlife club sasa hivi
Nice one hawa jamaa inabidi wajue kwamba mteja ni mfalme..., wasipoangalia watabaki wenyewe.
Also Customer Care yao its one of the worse... kila mtu anatoa jibu anavyojisikia and they dont even know what they are talking about
Please kama huyo jamaa angetoa time ingekuwa bora..., ili nihakikishe na mimi nipo..., lakini kwa uzoefu wangu hata huyo jamaa atatoa jibu rahisi kwamba tutashughulikia shida zenu na tutapeleka kwa wahusika...
Mimi kwa kweli nawapa ultimultum..., kama nikishindwa kuweka Highlife leo itakapoexpire I will be migrating to Airtel
Marketing department and Finance department za kampuni za simu hazifanyi kazi zaidi ya kudevelp lottery business model. Nilipofanya interview 2009 na Zain niliwaambia walio ni interview you guys are losing money. Na hii ni exactly case, vijana wengi wabongo ambao wapo kwenye hizi department ni wavivu wa kufikiri.
Na ili hizi kampuni zipate watu washindani lazima waache upuuzi wa kusema tutakupa 3 million mshara. That doesn't make sense, competitive candidate kwenye hii dunia anataka mshara plus profit sharing mwisho wa mwaka. That is the only way watapata business developer who will bring good products to Tanzania community and good return to Investors. Zama za mishara bila compasation ya equity zimekwisha.
mkuu ... na mimi yamenisibu ....niliwaamini hawa z-connect kumbe sio... sasa hivi nimetoka kupigizana nao kelele hao wa customer service ... bora wange ongeza bei kidogo kwenye bundle na sio kulazimisha mtu ku recharge ...halafu utapiga wapi simu .... airtel modem ni TZS ngapi...?
Wakuu Wote and Tatoo USHAURI
Sababu sisi ndio Customers unaonaje tukionge na mtu wa ZANTEL (Uongozi na kuwatumia hii Link) kwamba tuna-demand mtu wao aje hapa Jamvini ili ajibu tuhuma za kwanini ninunue 2GB kwa 15,000 wakati wenzao wanauza 3GB kwa the same amount. Pia kwanini uniforce nimake calls Je kama sipendi kuongea na kupoteza muda..? kwanini usiniambi kwamba 2GB ni 15,000/=
Kwahiyo wakuu yoyote mwenye Contact za hawa jamaa naomba aongee na representative wao ili aje hapa ajibu hizi shutuma....
Kuna mdau amesema kwamba kuna supervisor wao atakuja hapa jamvini kutusikiliza... although kama wewe sidhani kama majibu yake yataridhisha.. anyway my ultimatum ni leo usiku package yangu ikiisha..., nikishindwa kujaza highlife... kesho i will be another customer moving to AirtelThis is more than shutuma. Kuna rafiki yangu ameongea na well placed source huko zantel, amenidokezea kwamba hawa ndugu hhawatabadilisha uamuzi haraka kiasi hicho....dawa yao moja tu...kuanzia kesho subirini mziki wao....tcra wameshindwa kututetea sisi tunajitetea wenyewe...
Kuna mdau amesema kwamba kuna supervisor wao atakuja hapa jamvini kutusikiliza... although kama wewe sidhani kama majibu yake yataridhisha.. anyway my ultimatum ni leo usiku package yangu ikiisha..., nikishindwa kujaza highlife... kesho i will be another customer moving to Airtel
Ndugu,
Kwa msaada wangu wa haraka haraka, Zantel wametoa offer kwa watumiaji
wa GSM sim card kupiga simu za nje ya nchi kwa gharama nafuu yenye
kiwango wasia au karibu kufikia na gharama za simu za ndani ya nchini.
Hivyo basi wakajumuisha na huduma ya vifurushi endapo unayo modem yao
ya internet ambapo utaweza kutumia 10,000 na ukapata kifurushi cha 2GB
kwa muda wa siku 7 za wiki. Lakini wakati umeunganishwa na huduma ya
Highlife (kwenye GSM) ni LAZIMA sim card hiyo iwe inapiga Voice calls
kama kawaida na siyo kuwa Idol mpaka kifurushi cha internet kwisha
ndipo ukajiunge tena na kifurushi kingine.
Hivyo basi kama SIM card yako ya GSM haikuwa ikitumika kwa Voice calls
kwa muda wa siku hizo 7 ambazo ulikuwa ukiburudika na huduma ya
vifurushi kwenye modem yako ya internet, ni kosa hivyo wao ndiyo wenye
haki ya kukuondolea huduma ya highlife sababu umekwenda kinyume na
masharti na matumizi huduma hiyo ya highlife. Ndio maana kuna normal
rate za vifurushi vya internet ambapo haina haja ya kuwa mteja wa
highlife, ukitembelea link hii http://zantel.com/zconnect.html unaweza
kujionea pale.
Ni hayo tu, mimi sio msemaji wa zantel bali ni mteja wa muda mrefu wa
zantel.
//Linc

Mkuu to make a long story short hapa watu wengi walijiunga zantel hili watumie 2GB kwa wiki kwa elfu 10,000/= and they dont care about calling abroad au kumpigia mtu yeyote kwenye simu... sasa hapa issue ni condition ya kuforce mtu aongee kwa 5,000/= calls which he does not want to make... Now this makes Zantel very expensive on the net ambapo for 15,000/= ukiwa airtel unapata 3gb alafu zantel ukimaliza hiyo 2gb before wiki kwisha huwezi hata kuongeza mpaka wiki inakwisha.
Sisi ni wateja na hapa hatuongelei legality ya kitu chochote na all other Z connect packages sucks..., thats why leo asubuhi I knocked on Airtel doors modem zikawa zimekwisha... kwahiyo Vodacom here I come.. na hii modem nadhani i will just throw it somewhere and forget about it