Zantel 4G

Wazee 4G ipo Smile na Ndiyo ya ukweli kwa sasa ana bei ni bure kabisa.
1. Unlimited weekly @ TZS 35,000 at speed up to 6Mbps
2. Unlimited Monthly @ TZS 70,000 at speed up to 2Mbps
3. Unlimited Monthly @TZS 115,000 at speed up to 6Mbps
4. Unlimited Monthly @ TZS 210,000 at speed up to 21Mbps
5. Daily 2G bundle @TZS 2,500 at speed up to 21Mbps

Voice bundle ... No need to have 4G smartphone mambo ya Voice App ....Smile Voice app

Monthly bundle @ TZS 10,000 unapata 330 minutes and 1,000 SMS

Voice available national wide and outside TZ Wakati 4G network ipo Dar, ARUSHA, Mwanza town, Mbeya town, Dodoma town, Moshi town and Morogoro town
 

namba 5 ni 4g au 2g? kama ni 4g inamaana kwa mwezi 75,000 hadi 21mbps,unlimited.
 
namba 5 ni 4g au 2g? kama ni 4g inamaana kwa mwezi 75,000 hadi 21mbps,unlimited.

That is 4G ... Daily bundle Kama huwezi nunua weekly au monthly bundle

Special kwa wezangu na Mimi Kama mawe yanagoma....Jaribu kuconfirm nao Kama speed ni 21Mbps au 2Mbps

Tembelea www.smile.co.tz kwa maelezo zaidi au piga 0662100100
 
Embu nitajie band zao zipoje kama zitafaa kwenye simu yangu

Zantel wanatumia 800MHz FDD LTE band 20
Smile wanatumia 800MHz FDD LTE band 20 na 2600MHz FDD LTE band 7
Smart wanatumia 2300 MHz TDD
Voda wanatumia 1800 MHz FDD band 3 Kama sikosei
 
3G speed inatiwa kwenda mpk 21mb/s
4G ina LTE ambayo maximum speed ni 40mb/s na WIMAX inafika mpk 100mb/s
Wengi hawana iyo 4g ina wanaongeza transmission na bandwidth kwenye tower ili iwe na speed,ndo maana unaona mtu ana 4G na mwingine ana 3G ila speed inakuwa almost sawa au mwenye 4G ikawa ndogo
Vitu vinavyoathili speed ya internet ni
1. bandwidth ya mnara unaotumia (BTS)
2.watu wanaokuwa kwenye internet kwa iyo tower
3.majengo marefu au miinuko huwa vinazuia internet ndo maana town kuna booster kibao.
Kingine
 

neo1 4G speed maximum ni 65Mbps on DL and 21Mbps on UL kwa channel bandwidth ya 10MHz

Uamuzi ni wa operator Kama anataka kuoffer up to Max speed au la kulingana na transport network yake Kama inaweza support such speed hasa end node to end node.

Swali la msingi, do we real need such speed? For what type of service? Video streaming mmmmhhh? Netflix mmmmhhh? In fact not needed unless otherwise na Ndiyo maana provider wengi wanaamua kucap speed at SIM card level ili kuoffer price ambayo mteja atamudu plus Quality of service and quality of experience per user on same tower as allocation ni best effort so unazui mtu mmoja kutumia bandwidth yote peke yake.

Ni vizuri unaponunua sema unataka nini maana product zote zipo ....ukitaka full pipe utapewa na ukitaka just to serve your purpose utapewa.
 
Yani kama voda ukijiunga tena bando la chuo internet pekee ndo hata mnara haupandi kabisa,si mm 2 hata wenzangu mwendo ndo huohuo. Big up halotel spidi ya mwendokasi
 
Smile wapo poa,coz wanatoa speed nzur mm 10mbps inanitosha kabisa kwa kazi,ping ipo poa sana
 
Smile wapo poa,coz wanatoa speed nzur mm 10mbps inanitosha kabisa kwa kazi,ping ipo poa sana


Halotel hawana 4G kwa sasa, wana 3G wape muda utarudi kwa wateule



View attachment 374147 View attachment 374148
Hao ndiyo tigo huku kwetu!!
Kupata hiyo speed ya juu mpaka uwavizie usiku mnene.
Mida ya asubuhi hadi jioni ni. Chenga tupu.

Dah... Kuna watu wanafaidi jamani!!
SPYMATE anadai hiyo ni tigo maeneo ya Fire/Upanga Dar es Salaam
 
Hivi wanajamvi ttcl wana line za kutumia katika simu ambazo sio za ttcl? Msaada
 
HI HALI YA MWENDOKASI NI SHIDA SANA./ HIVI 3G COVERAGE YA NCHI NZIMA IMESHIBA KILA ENEO?KWA MITANDAO HUSIKA.
 
Zantel wanatumia 800MHz FDD LTE band 20
Smile wanatumia 800MHz FDD LTE band 20 na 2600MHz FDD LTE band 7
Smart wanatumia 2300 MHz TDD
Voda wanatumia 1800 MHz FDD band 3 Kama sikosei

Smile hawatumii FDD 2600Mhz !
Bali wanatumia 800Mhz peke yake!

Na Zantel wanatumia FDD 1800Mhz na sio FDD 800Mhz.

Labda utoe source ya information zako hizo data umepata wapi?

Data zangu zote zipo Listed with reference kwenye Wikipedia-List of All LTE networks!
 
That is where you are wrong, Wikipedia siyo authenticated source to use...kila Chizi anaandika.

Nenda TCRA kama huamini au nenda Smile na Zantel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…