Halotel ndo mkombozi wetu nimekuja wilaya ya kilombero sehemu fulan inaitwa mbigu ni rahaa tu kama sipo kijijin
signal hio, ukitaka kujua full potential ya mtandao eneo husika hakikisha signal inapandaView attachment 373189
Zantel hao tena Nime-test hiyo 4g pale Msasani yaani wameniacha Hoi.
Huko kwetu Manzese Zantel na tigo Hali Moja,
4g ya tigo hadi usiku mnene ndio inapanda kwenye 5maps ambayo inapitwa na 3g ya halotel
View attachment 373189
Zantel hao tena Nime-test hiyo 4g pale Msasani yaani wameniacha Hoi.
Huko kwetu Manzese Zantel na tigo Hali Moja,
4g ya tigo hadi usiku mnene ndio inapanda kwenye 5maps ambayo inapitwa na 3g ya halotel
Kaka njoo na 4g au 3g yako ya voda kijiji cha mbingu kama autambulia E mbaka unaondokaHakika ushabiki tukiuweka pembeni, kuipambanisha....
Halotel 3G,
Vs
Vodacom (4G),
Ni kuidhalilisha teknolojia.
Majanga tupudah... Lte
mbona mi naona E hapo?View attachment 373189
Zantel hao tena Nime-test hiyo 4g pale Msasani yaani wameniacha Hoi.
Huko kwetu Manzese Zantel na tigo Hali Moja,
4g ya tigo hadi usiku mnene ndio inapanda kwenye 5maps ambayo inapitwa na 3g ya halotel
Check vizuri ni LTE kwa maana ya 4G.mbona mi naona E hapo?
Check vizuri ni LTE kwa maana ya 4G.
Baadhi ya simu zinaandika 4g na zingine zinaandika "LTE"
Kaka hapo zantel inasoma 2bars .signal hio, ukitaka kujua full potential ya mtandao eneo husika hakikisha signal inapanda
yap voda hata 3g ipo hivyo bar 1 inatosha ila tigo nafkiri na hao zantel pamoja na halotel kama signal ni mbovu speed nayo huwa ndogo.Kaka hapo zantel inasoma 2bars .
Wakati Voda ukipata via bar viwili au kimoja kitu kinagonga kwenye 27Mbps.
Sasa hiyo 4g ya Znet na tigo utapata wapi iliyojaa bar zote?
Halotel in 4G toshaZantel 4g ni yakitambo sema Wali launch kwanza zanzibar.
Yani Halotel wakiweka tu 4g na hivi vifurushi vyao vikibaki kama vilivyo ndio basi tena... Maana kwa sasa line zote za 4g ninazo Voda, Tigo, Ttcl lakini na endelea kurudi tu halotel bila kupenda
50 Kilometers from Ifakara town.Halotel ndo mkombozi wetu nimekuja wilaya ya kilombero sehemu fulan inaitwa mbigu ni rahaa tu kama sipo kijijin
Hao ndiyo tigo huku kwetu!!yap voda hata 3g ipo hivyo bar 1 inatosha ila tigo nafkiri na hao zantel pamoja na halotel kama signal ni mbovu speed nayo huwa ndogo.
mimi hutafuta chimbo unaweza kuta hapo hapo ulipo kama ni chumba au ofisi utapata tu kona signal inakuwa kubwa na kupata speed nzuri
Embu nitajie band zao zipoje kama zitafaa kwenye simu yangu
Zantel imenunuliwa na tigoMikoa yote ambayo tigo wana 4G zantel nayo wanayo....
Zantel itasambaa kwa kasi kuazia august...
Band wanayotumia kwa sasa ni 800 watakuja na 900..
SITAKI MASWALI SUBIRINI MATOKEA
Nilikuwa tandale mkuu50 Kilometers from Ifakara town.
Hongereni sana.
Ni maeneo gani hayo LONDO au TANDALE?