Zantel 3g iko juu ucpme!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zantel 3g iko juu ucpme!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Jul 10, 2011.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hehehehe ebwana eeh si mchezo Zantel 3G iko juu sana yani kwenye internet download manager napata kuanzia 200KBps to 500KBps mpaka

  600KBps kama unavyona hapa

  zantel 3.5g.JPG

  Tena package kwa bei nafuu kabisa unanunua line ya zantel unajiunga na EPIC NATION na kwa siku unakatwa 500/= na unapata 50mb,

  300msgs, 50mms na dakika 15 ya kuongea zantel kwenda zantel... hehehe kweli maisha raha
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Umeamua kuifanyia promotion ya juu,mimi zantel sina hamu nao hao,maana kila nkiweka pesa kwenye modem walikuwa wananila kama nini,apo ndio nasoma email tu
   
 3. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 80
  KAMA WANA UNLIMITED CONNECTION NTAJIUNGA KAMA HAWANA NAONA NI USELESS SPEED KUBWA bundle INAISHA HARAKA. WIZI MTUPUUUUUUUUUUUUUUUUUU
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Huu muda wa kuongea Zantel kwenda Zantel huwa unapotea bure tu, maana kumpata rafiki anayetumia Zantel ni kaazi kweli kweli.
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tupe maelezo unajiungaje na hyo epic nation?ni kwnye cm,modem au?
   
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Siwezi kushangaa hiyo speed maana ndio kwanza wamezindua huduma hii ya 3g hivyo tuwape mda,wapate wateja wa kutosha tuone kama wataendelea na hiyo speed..... 50Mb kwa TSH 500? bado ni nyingi sana mkuu, maana 50mb, inaishia kuload blog ya michuzi.
   
 7. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahaha uncle bana!mi hata hyo site sihangaikagi nayo! Hyo 3g inashika kwnye cm?
   
 8. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Aaaah! siyo kwamba ni mtembeleaji wa hiyo blog, ila navyo jua mablog mengi ya bongo yamejaa mapicha na matangazo kibao, so kama ni mtu wakutumia internet ya kupimwa kwa MB inakuwa inakula kwako.Sijatumia hata kuitumia mkuu zaidi nimesikia hapa JF kuwa hawa jamaa wamezindua huduma yao ya 3g.
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu naona umeamua kuwapa PROMO Zantel Hawafai takwambia kwa nini
  • wanaforce utumia voicecalls 5,000/= ili upate highlife 2gb kwa wiki kwa elfu 10,000/= ambayo total inakuwa 15,000/= wakati airtel wanaoffer 15,000/= kwa 3gb
  • Zantel package yako ikiisha kabla ya muda wako kuisha huwezi kujaza tena so kama unazo 2gb ukazitumia kwa siku tatu huwezi kuongeza same package mpaka wiki ikishaisha, therefore hapo utaona haina maana hata kama speed ingekuwa 1gb per second kama unaouwezo wa kutumia 5gb kwa wiki package yao is useless..
  Kwahiyo mkuu kama wewe ni mfanyakazi wa ZANTEL waambie wenzako mmechemsha sana kwa upuuzi wenu mlioufanya kama nilivyosema hapo juu; and Am one of the customer mlionipoteza na Modem yenu ipo somewhere inajaa vumbi tu..,

  But credit where credit due.. (package yenu ya kupiga simu nje ya nchi is one of the best thanks for that)
   
 10. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Duuuh! pole sana mkuu inawezekana pia lakini kwangu sijaona hayo matatizo
   
 11. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ndio uko sawa mkuu lakini mie faida katika iyo jero ni hzo sms 300 na 50mb
   
 12. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Unajiunga kwenye simu na pia hii huduma ni kwa line za zantel za GSM sio CDMA na vile vile kama uko umejiunga na HIGH LIFE hauwezi jiunga na EPIQ NATION laizma ujitoe kule na ujiunge hapa... kujiunga na EPIQ NATION kwanza lazima uwe una 500/= then dial kwenye simu *149*09# then itatokea menu apo utachagua REGISTER
   
 13. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hehehe yah ni kwl lakini hautwezi tabiri wamejipanga vp sio kwamba hawa wengine waliyumba basi kila moja ata yumba.... vile vile kwa kuangalia mitandao mingine ina offer 20mb kwa 500/=.. sasa zantel 50mb kwa 500/=bado ni cheap sana kwa wale ambao hawawezi unga na bundle kubwa,vile vile kuhusu kufungua blog moja 2 heheheh! i think that was a joke au sio?
   
 14. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe mkuu, ila tunachokizungumzia hapa leo ni ujio wao wa 3G, Kumbuka mwanzo walikuwa wanatoa package zao za data kwa kupitia technology ya CDMA na sasa wamekuja na 3G, ambayo inaushindani mkubwa kwa sasa, na ndio technology iliyosambaa zaidi kwa hapa TZ...

  Na kama wataendeleza mtindo wao wa kulazimisha mtaje kutumia voicecalls 5,000/- kwa mwezi wataumia vibaya mno, ni matumaini yangu wamejipanga sawa sawa na wanakusudia kuteka soko la huduma ya DATA kwa Tanzania ...
   
 15. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  TTCL wako juu sana na nadhani jinsi siku zinavyozidi kwenda watapunguza bei ya Banjuka tuwe tunaipata kwa Tsh. 500 kwa masaa 2.. Zantel wako poa ila sasa hawa gharama zao ni kama bei za supermarket hata bidhaa iwe mbovu vipi bado price yake ni fixed and very expensive.
   
 16. l

  lyimoc Senior Member

  #16
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijajua kama package zao zina limit or ni unlimited, maana kwa bei zao ni zajuu kweli kweli sijui kama wataweza kuingia kwenye soko la ushindani na Airtel na tigo ambao wana package za bei ya chini kabisa ambazo Mtanzania wa kawaida anaweza kuzimudu.
   
 17. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Kwa sasa ni airtel tu!
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hata voda kama ni limited mbona utaenjoi?
   
 19. koboko

  koboko Member

  #19
  Jul 28, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ebwana kwenye net zantel hawana mpinzani.... voda na airtel uki-dowload huku mkoani nyimbo moja inabidi uache computer on uende kulala asubuhi ndio ukute download complete!!! Kuna wakati voda ina-download kwa kasi ya 0.09kb/sec...

  Tatizo hiyo 5,000 inayotulazimu kutumia.. halafu usubiri bandle iishe muda ndio ununue nyingine.. Hii inanifanya kuendelea kuamini muuza chips ana akili zaidi na anatoa huduma bora kuliko masharobaro wanaokaa ofisini kubuni hizi products.
   
 20. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #20
  Jul 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  mnhh mi najiunga bureeeeeeeee
  we eka line yako ya zantel na sh 0 then jiunge na hio ofa itakubali halafu usieke vocha tena itakua kila siku bure lahaaaaaaa ('.')hihi
   
Loading...