Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jul 28, 2011 #21 Watu wa tech 3G, GSM ni vitu gani?
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 159 Jul 29, 2011 #22 Jamani wadau sina setting za ZANTEL INTERNET KWENYE SIMU YANGU.Je nitazipataje wadau?
L ludoworld86 Member Joined Apr 28, 2013 Posts 29 Reaction score 22 May 11, 2013 #23 tizo1 said: Jamani wadau sina setting za ZANTEL INTERNET KWENYE SIMU YANGU.Je nitazipataje wadau? Click to expand... nenda kwenye mobile networks, access point then jaza NAME: Zantel. APN: znet, save, kwisha kazi.
tizo1 said: Jamani wadau sina setting za ZANTEL INTERNET KWENYE SIMU YANGU.Je nitazipataje wadau? Click to expand... nenda kwenye mobile networks, access point then jaza NAME: Zantel. APN: znet, save, kwisha kazi.
Shaffin Simbamwene JF-Expert Member Joined Nov 16, 2008 Posts 2,156 Reaction score 1,539 May 11, 2013 #24 ludoworld86 said: nenda kwenye mobile networks, access point then jaza NAME: Zantel. APN: znet, save, kwisha kazi. Click to expand... weye mkavu kweli yaani hiyo post ya miaka unakuja kuifufua leo duh!!
ludoworld86 said: nenda kwenye mobile networks, access point then jaza NAME: Zantel. APN: znet, save, kwisha kazi. Click to expand... weye mkavu kweli yaani hiyo post ya miaka unakuja kuifufua leo duh!!