ZANACO special thread.

Hakuna watu tunawanyimaga usingizi km wamatopeni wanahaha sana wakitusikia vijana wa intaneshinali
 
Zanaco wanasawazisha hapa tumepata goli la ugenini,zimebaki dk 10 tu mpira kuisha
 
Timu za tanzania ziige mpira kwa zambia bwana wenzetu wanajua wameupiga mwingi sana mpka goli linafungwa nimecheki mpira vizuri kuna jamaa anaitwa moyo, mwingine sakala mwingine kiluvy na mulenga zanako wanaucheza banana tuache ubishi
 
Jana team yetu ya zanacol ilicheza vizuri sana. Naimani katika marudio itawapiga mabao mengi sana chura fc
 
Waze Wa KimaWaTaifa wajiandae Na Kapu la Kubebea Magoli Watakapo ikanyaga Zambia manake Kwenye Uwanja Wetu Wa Nyumbani Sisi Zanaco Tutamuhatibu Binti Ndala...
 
Huu ni Uzi maalum kwa Mapenzi wa timu yetu pendwa zanaco ya zambia
Kama mnavyojua Leo tunacheza na timu yanga Africans ya Tanzania.namaba tukutane hapa kwa wale wote ambao hatutakuwa uwanjani tushangilie timu yetu..

Mungu ibariki zanaco fc.
Haya yanaitwa mapenzi mubashara na mikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom