Zana za kishetani

Dah!!!Shukrani mkuu kama ulikua akilini mwangu!!!Ubarikiwe.
 
Mshan umeshau zana nyingine, inaitwa Mkoko. Ni mbaya kuliko bastora.
 
Du! Hongera kiongozi hakika sijui usiku ukitoka nje kuangalia anagani unaona nini?!
 
Brother umesema vyema.

Kuna silaha zilizolembwa vizuri kabisa na zinavutia. Kwa nje uonekana ni zana nzuri katika matumiz na utendaji ila ni silaha zenye kufisha Roho na mwili ni sisi wenyewe hununua hizi silaha kwa gharama nyingo sana.

Kwenye urembo kuna ulimbo. Tunatembea na maadui zetu
 
Du! Hongera kiongozi hakika sijui usiku ukitoka nje kuangalia anagani unaona nini?!
[emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
 
Je huingii Facebook, instagram kama unaingia humo basi mada inakuhusu
 
Kwa hili bro,Nina kila sababu ya kukuita wa MANUFAA humu Jf.
Salute nyingi sana kwako
 
Je huingii Facebook, instagram kama unaingia humo basi mada inakuhusu
Umesahau badoo na kule shetani alikosimamia ukucha....phonerotica!!! Halafu jukwaa la wa...[emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwingine pote nitapona ila instagram huwa nimefolo page za umbea na vichambo. Hili jaribu limeniwia gumu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…