Zana za jwtz

MWANAWAVITTO

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
258
220
tazama zana za JWTZ, hii ni moja mizinga ya jeshi letu pamoja na ndege
 
Attachments

  • jwtz2.jpg
    jwtz2.jpg
    2.8 KB · Views: 1,960
  • jwtz.jpg
    jwtz.jpg
    2.3 KB · Views: 1,934
MWANAWAVITTO ... hivyo ni vitu vya kizamani!, na wala siyo reliable tena katika vita vya kisasa ... siku hizi silaha ambzo zipo juu ni Unmanned aerial vehicles (UAVS)

Unmanned aerial vehicles (UAVS), also known as drones, are aircraft either controlled by ‘pilots' from the ground or increasingly, autonomously following a pre-programmed mission. (While there are dozens of different types of drones, they basically fall into two categories: those that are used for reconnaissance and surveillance purposes and those that are armed with missiles and bombs.

The use of drones has grown quickly in recent years because unlike manned aircraft they can stay aloft for many hours (Zephyr a British drone under development has just broken the world record by flying for over 82 hours nonstop); they are much cheaper than military aircraft and they are flown remotely so there is no danger to the flight crew.

predator-firing-missile4.jpg
 
Kuwa na hii kitu itatuchukua miaka mingi sana Tanzania
 
Hio ndege haiwezi kuwa jetfighter wala bomber hio itakuwa ni ndege za transportation.
Halafu hio sio mizinga ni makombora.sidhani kama tunayo hapa bongo labda utupe prove kama ni kweli ni yaJWTZ.
Drone zipo za upelelezi ambazo zingine ziko cheap hata kwa dola milioni hamsini unapata.
Zipo armed drone,hizi wanatumia sana marekani na walimpa na israel ambao ndo walianza kuzifanyia majaribio kwa wapalestina kunako miaka ya tisini.mmoja wa mhanga wa majaribio hayo ni yule kilema Ahmed yassin wa gazastrip.
Ni marekan na israel tu ndo wanatumia drone zenye kufyatua makombora ya hellfire.iran nao wanakaribia kupefect armed drone technology,hivi karibuni walitoa surveilance drone.range km 500,inakaa angani kwa saa 24.
 
Jamani sie hatujazoea vita...ikipita hiyo ndege mngurumo wake tu watu wanakimbia kujificha sasa ikijaribu kurusha makombora si ndio vifo kabisa
 
Hio ndege haiwezi kuwa jetfighter wala bomber hio itakuwa ni ndege za transportation.
Halafu hio sio mizinga ni makombora.sidhani kama tunayo hapa bongo labda utupe prove kama ni kweli ni yaJWTZ.
Drone zipo za upelelezi ambazo zingine ziko cheap hata kwa dola milioni hamsini unapata.
Zipo armed drone,hizi wanatumia sana marekani na walimpa na israel ambao ndo walianza kuzifanyia majaribio kwa wapalestina kunako miaka ya tisini.mmoja wa mhanga wa majaribio hayo ni yule kilema Ahmed yassin wa gazastrip.
Ni marekan na israel tu ndo wanatumia drone zenye kufyatua makombora ya hellfire.iran nao wanakaribia kupefect armed drone technology,hivi karibuni walitoa surveilance drone.range km 500,inakaa angani kwa saa 24.
Mkuu Miaghay unajua unachokiongea?! ...

Kwa taarifa yako tu mchina anatengeneza makombora yanoyoitwa HJ-10 (HJ = Hong Jian au Hongjian, ikimaanisha Red Arrow)

These are series of indigenously developed and highly classified (as of 2011) Chinese anti-helicopter / anti-tank missiles, they are the primary weapon of the CAIC WZ-10 attack helicopter.

Sasa inajulikana kuwa this little-known missile is the Chinese equivalent of the AGM-114 Hellfire.

Na siku hizi haya yapo katika Chinese drone ingawa ni Highly developed version.

Na hizi hapa ni drones za China

UAV Control Station

Na hapa chini ni VIDEO inayoonyesha China anataka kutumia Armed Drones kwenye mgogoro wake na Japan juu ya Visiwa ....

Kwa sasa nchi nyingi zina drones!​

Last edited by a moderator:

mkuu kwenye picha naona umechanganya.

Naziona MQ-1 PREDATORS na MQ-9 REAPERS za USA pamoja na HERMES 500 ya ISRAEL
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Miaghay unajua unachokiongea?! ...

Kwa taarifa yako tu mchina anatengeneza makombora yanoyoitwa HJ-10 (HJ = Hong Jian au Hongjian, ikimaanisha Red Arrow)

These are series of indigenously developed and highly classified (as of 2011) Chinese anti-helicopter / anti-tank missiles, they are the primary weapon of the CAIC WZ-10 attack helicopter.

Sasa inajulikana kuwa this little-known missile is the Chinese equivalent of the AGM-114 Hellfire.

Na siku hizi haya yapo katika Chinese drone ingawa ni Highly developed version.

Na hizi hapa ni drones za China

UAV Control Station

Na hapa chini ni VIDEO inayoonyesha China anataka kutumia Armed Drones kwenye mgogoro wake na Japan juu ya Visiwa ....

Kwa sasa nchi nyingi zina drones!​

za china ni bosheni, halafu mchina hajawahi kupigana vita yoyote, zaidi ya kudhalililshwa na wajapan zama hizo mpaka wakajenga ukuta wa kujilinda unaitwa great wall, pamoja na huo ukuta wajapani walikuwa wanaruka ukuta wanaingia wanawatandika, mpaka wakahisi walinzi wa ukuta walikuwa wanakula rushwa wakatunga sheria ya kunyonga wala rushwa.
 
Acha kamba.
 
ukweli ni upi we dogo? unajua historia ya wachina na wajapan?
Wajapan wamepigana na wachina miaka ya arobaini, wakala kichapo ...,wachina waliwapush wamarekani mpaka demilitarized zone kwenye korean war, wakachapana na NATO vietnam war, wakazichapa na India miaka ya 60s, wewe unazungumzia majeshi ya Ganges Khan.
Wachina kisilaha hawawafikii US ila mechi kali.
 
Naona wengi wetu tupo Tanzania lakini hatufahamu hata kidogo zana za jeshi letu amvazo zimenunuliwa nsani ya miaka kumi iliyopita.Kwa kuwa mcgokoa mada anaweza kuwa ni mmalawi,nadhani ni vizuri ninyamaze. By the way,mnafahamu Tanzania tuna special forces na secret services lakini hata u google hautopata kitu!?.Ukitaka kuonja kaa karibu na jiko/wapishi.La sivyo endelea kusubiria sebuleni!
 
Back
Top Bottom