Zambian businesses will continue to shun Dar por | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zambian businesses will continue to shun Dar por

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alpha, Mar 16, 2010.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  JK is running around the world begging people to come and invest in TZ but who is going to come and invest in a country where Incompetence, corruption and bureaucracy are rampant. The Ports are to say the least congested, The Airline has failed, The Roads are a bloodbath, Electricity is unreliable, crime is rampant, Traffic in the commercial capital is at a standstill, Clean safe water is a luxury... I could go on and on. Is this really an conducive environment for investment. JK needs to concentrate fixing the problems at home first.

  http://www.postzambia.com/post-read_article.php?articleId=7065
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
   
 3. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  WaTZ tuna katabia sana kaudokozi. Hako hatuwezi kupinga. Mtu akiwa mdokozi ofisini kwake ndiyo anasifiwa.
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bongo bwana! Tukisema serikali iendeshe...taabu! Tukisema tubinafsishe...taabu! Ivi what can we do and proudly say WE DID THAT?! Naomba kitu kimoja tu...which is Made in Tanzania, By a Tanzanian, For Tanzanians. Just one thing!
   
 5. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #5
  Mar 16, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  utasikia ndugu na jamaa wanasifia Ndugu yao akiwa kwenye ofisi yenye harufu mbaya ya RUSHWA.utasikia jamaa ame-win,mambo yake super.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Labda niongelee hili la congestion ktk miji ya kibiashara kama Dar.

  In connection na hili tatizo, inanikumbusha ile thread ya Lukuvi eti kwamba jiji limemshinda. Nimeshaona ripoti ya miji mikubwa ambavyo ina-struggle ku-keep up na mathalan uzoaji taka ingawa ktk miji hiyo hakuna msongamano wa magari. Sasa inashangaza watu wanaposhangazwa na uchafu ktk jiji la DSM huku waki-ignore fact ya msongamano wa magari, achilia mbali mikasa mingine ya kama vitendea kazi duni, utupaji taka hovyo,na kukosekana seoaration ya taka kwa ajili ya recycling.

  Hali ya congestion itazidi kuwa mbaya kama hali iliopo sasa itaendelea, kwa sababu kuu kwamba ukuaji wa jiji hauendi sambamba na mahitaji ya kimiundombinu hususan ya usafiri.
   
 7. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Majani ya chai. Piga ua
   
Loading...